Tundu Lissu - Afrobiz Germany, berlin

Taarifa za mwanzo tuliambiwa Lissu kazuiliwa kutia mguu German na kwamba Kiongozi German alimpigia simu kiongozi wa Tanzania na kutoa ahadi ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha mbolea.Upo uwezekano Lissu anaongelea kutokea Singida na si German.
 
April 2019
Berlin, Germany

Hon Tundu Lissu opposition leader of Tanzanian Chadema party talks about the failure and human right abuse of President John Magufulis government and also his aspiration to ascending the presidency someday.
Source : afrobizgermany Berlin
 
The Chif Whip Prominent Opposition Leader.
 
Lissu The Greatest
 
Taarifa za mwanzo tuliambiwa Lissu kazuiliwa kutia mguu German na kwamba Kiongozi German alimpigia simu kiongozi wa Tanzania na kutoa ahadi ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha mbolea.Upo uwezekano Lissu anaongelea kutokea Singida na si German.
[emoji12]
 
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.

Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Mbona mnaweweseka vp
 
Yaani bado mnaongeaga tu hizo propaganda za hovyo na kitoto na kipuuzi?
 
Serikali ya sisiemu, kama wao wajinga nyie mnaburuzwaje na wajinga? Mko kundi gani mpaka mjinga anakuburuza?
Kichaa kapewa bunduki sasa hata kama wewe ni mwelevu msogelee kichwa kichwa uone atakachokufanya.
 
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.

Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Kwanini haya maneno usiiambie serikali tukufu ya mr stone mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…