Unadhani wewe ni Mungu kwa kukejeli kinamna siku ukiachwa kulishwa na baba aka ukitaka na miaka hamsinindipo utajuwa lissu ni Yule YuleZile kamata kamata zisizo na kichwa wala miguu dhidi ya Tundu Lissu na zile kesi uchwara zote zilizofunguliwa dhidi yake naamini ndizo zilizompandisha chati huyo bwana katika huu utawala wa awamu ya tano.
Mara nyingi kama si zote hizo kamata kamata zilitokea baada ya yeye kutoa maneno makali dhidi ya serikali na rais.
Kuna nyakati alikuwa yupo sahihi na nyakati zingine alikuwa mzushi tu. Kwa mfano, aliposema nchi inaendeshwa kwa misingi ya kikabila na kikanda, huo ulikuwa ni uzushi tu. Zilikuwa ni propaganda tu.
Uzushi na propaganda kwenye siasa ni jambo la kawaida sana na la kutegemewa kuwepo. Mwanasiasa asiyezusha, asiyetia chumvi, na asiyepiga propaganda atakuwa kakosea fani.
Sasa mimi naamini hii serikali inafanya makosa sana katika kuwakamata na kuwafungulia mashitaka watu wanaoipinga na kuikosoa. Hizo kesi wanazofunguliwa ni vichekesho mtupu.
Katika kukosea kwao huko, naamini serikali imeunda lidubwana [monster] ambalo kuanzia sasa kwenda mbele itakuwa vigumu kulidhibiti. Lidubwana hili nalifananisha na lile lidubwana la kwenye filamu ya Frankenstein.
Lidubwana hilo ndo Tundu Lissu. Hebu fikiria haya:
Jamaa keshaonyesha kuwa haogopi kuikosoa serikali wala kumsema vibaya rais [mambo ambayo ni ya kawaida sana kwenye demokrasia na ambayo yanahimizwa kufanyika].
Uthubutu na ujasiri wake huo ndo umepelekea yeye kukamatwa kamatwa na kufunguliwa vi kesi uchwara.
Uthubutu na ujasiri huo huo ndo si ajabu umepelekea yeye kushambuliwa kwa risasi kwa lengo la kutaka kumuua. Sijui kwa uhakika ni nani anayehusika na hilo shambulio.
Sasa pata picha atapopona na kurejea tena nchini na kuendelea na harakati zake pale alipoishia!
Serikali itamfanya nini huyu mtu? Wataendelea kumsumbua na hizo kamata kamata zao na kumfungulia hivyo vi kesi uchwara mtu ambaye tayari ana huruma za umma kwa ujumla wake kutokana na yale yaliyomtokea?
Sioni utamkamataje na kumfunga mtu ambaye kanusurika kuuwawa namna ile. Akili yangu inaniambia hata dhamiri yako, kama ni safi, basi itakusuta tu.
Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.
Ni muda tu ndo utaotueleza.....
WTF!!??Unadhani wewe ni Mungu kwa kukejeli kinamna siku ukiachwa kulishwa na baba aka ukitaka na miaka hamsinindipo utajuwa lissu ni Yule Yule
Haya, sawa.Hahaaaa magonjwa mtambuka.kazi mnayo
Hawa watu ni wapumbavu kabisa aisee.
I mean...I thought it would be so simple to get what I was saying but evidently that's not the case for some.
Maisha ni kitu cha ajabu magufuli anaplastic kwenye Moyo bashite siridhiki yaani hata arobaini hafiki anakuwa na Kansa Kansa ya makalio lemutuz anakuwa na kansa ya utumbo hao nao watashudia lissu hata akibaki kichwa akina kwenye wheelchair he is the presidentHapana.
Hakuna nilipokosea.
Wewe ndiye unakosea.
Nimetumia mfano wa dubwana Frankenstein kama mfano tu.
Mfano wa jinsi miscalculation za CCM zilivyompaisha Lissu na kuweza kuwa mtu ambaye hawataweza tena kumdhibiti kama vile ambavyo yule mad scientist alivyoshindwa kulidhibiti dubwana alilolitengeneza mwenyewe.
Sasa kilicho kibaya ni nini hapo?
Kwani nimesema Tundu Lissu ni evil?
How stupid are you really?
We mwenyewe kwenye bandiko lako la kwanza kwenye uzi huu umezungumzia jinsi ambavyo itawawia vigumu CCM kukabiliana na Lissu hapo mbeleni hususan kwa sympathy ambayo anayo kwa umma.
Stop being so sensitive and stupid to the point that you can't even see my point.
Come on now...
Okay.Nyani Ngabu, this is not a question of being blinded; rather it is question of admiring and being impressed by some qualities in a person. I for one had a great deal of admiration for Nyerere and Mkapa. Incidentally, one of the things that made me admire Mkapa is that he was a true leader; he never blamed anybody for the difficulties he encountered during his leadership and he never sought cheap political self aggrandisment. Among our contemporary politicians (excluding those who have opted to retire), Lissu is towering.
You know what...that bolded part is very revealing.
Calling him "mpendwa wetu" shows how much blinded you are. You are blinded by affection when it comes to him.
That's why you are looking at it viscerally and not reason.
Oh well...
You are in denial...hapana.
..ningekuwa "blinded" kama unavyodai nisingechangia kwanza hoja yako. Ningejielekeza moja kwa moja kukushutumu.
..Again, yapo mambo mengi mazuri ya kujadili ktk hoja yako. Na nimejitahidi kuyajadili. Lakini vilevile ur choice of the name "frankeinstein" in the heading of your posting is a distraction.
Hiyo ndiyo nature ya wanyama wote, binadamu akiwa mmoja wao. Kazi ambayo imekusababishia kidogo uiage dunia, kazi hiyo lazima utaiacha. Dreva wake tu ambaye risasi zilimkosa, hadi sasa hivi hali yake ni taabani kiakili na kamwe hatathubutu kuendesha gari tena achilia kumwendesha Lissu. Nyani Ngabu inaelekea bado hajakutana na majanga yatokanayo na kazi yake. Kazi yake haina danger risks, hivyo hawezi kuelewa hiyo drama in its reality.Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Acha uongo hapo ndo wamemuongezea ujasiri. Angekuwa muoga kesi zote alizonazo tangu 1998 angekuwa kaisha nywea. Watu kama akina lisu ujasiri wao ni kama akina p makondaLissu akirudi bongo atakuwa kapoa. Msitegemee yule lissu mpambanaji mliyemzoea...
Kwanza, kiakili hataweza kuwa sawa...
Pili, woga umeshamwingia. Mara nyingi alikuwa anasuguana na "wasiojulikana", ila kwa sasa hataweza tena kutumia lugha hii " niko radhi kufa, kutetea wananchi " ...
Tatu, wengi tulitegemea taharuki baada ya kupokea taarifa kuhusu kupigwa risasi. Lakini mambo yalikuwa kinyume. Raia waoga wanaendelea na kazi kama kawaida. Labda watu wa mitandao na magazeti " keyboard warriors"....
Kwa wale wanaofikiri kuwa atarudi kwenye hali yake ya awali waendelee na ndoto hiyo...
nyani, si mjibu huyu bwana.huenda akatusaidia zaidi.Hilo ni propaganda za kisiasa tu
Wewe ni ku.........Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Those are your hallucinations añd as you are sympathetic to the killers I feel obliged to let you know that Lissu will not be a wheel chair bound as you seem to imagine.Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Nimjibu nani na nimjibu nini?nyani, si mjibu huyu bwana.huenda akatusaidia zaidi.
Hiyo ndiyo nature ya wanyama wote, binadamu akiwa mmoja wao. Kazi ambayo imekusababishia kidogo uiage dunia, kazi hiyo lazima utaiacha. Dreva wake tu ambaye risasi zilimkosa, hadi sasa hivi hali yake ni taabani kiakili na kamwe hatathubutu kuendesha gari tena achilia kumwendesha Lissu. Nyani Ngabu inaelekea bado hajakutana na majanga yatokanayo na kazi yake. Kazi yake haina danger risks, hivyo hawezi kuelewa hiyo drama in its reality.