Tundu 'Frankenstein' Lissu

Tundu 'Frankenstein' Lissu

Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,

Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Japo umeandika kinokonoko lkn ndiyo ukweli huu. Ingawa ukweli siku zote huwa mchungu.
 
Serikali yoyote ya kidikteta/kidhalimu haipendi kukosolewa. Kama kuna watu wataendelea kuikosoa, basi huwaondoa duniani kabisa kama walivyotaka kumfanya Tundu Lissu. Lakini historia inaonyesha kwamba Tundu Lissu hajawahi kunyamaza, hivyo huyu dikteta wetu uchwara analo mwaka huu.
 
Wengi wenu kuna kitu hmjui “Madaktari wanatibu Mungu anaponya” uwe Africa au Ulaya
Hana akili hiyo ya kujua MUNGU NDIYE MPONYAJI. NA ANASUMBULIWA NA KUUMIA MUNGU KUMUOKOA LISU NA MAUTI WALIOPANGA. ni shetani anayepambana na uweza wa MUNGU.
 
NYANI umeleta analysis nzuri na jina logics nyingi, kwa serekali itakuwa shida sana atakaporudi ndugu Tundu, labda hao majangili wakamatwe na ukweli ujulikane. Ukweli ukionyesha serekali ama usalama wa taifa umehusika basi itakuwa shida sana kwa Raisi wetu, lakini ukweli ukituonyesha wahusika ni watu wengine na wenye maslahi yao ya uchinganishi ama ni siasa za ndani ya chama chake, hapo sijui ndugu Lissu na watanzania kwa ujumla watafanyajee.

Nina imani ikitokea wahusika ni wa chama chake, ambao tunawajua hawampendi kwa kuogopea nafasi zao ndani ya chama, utaona maajabu mengi sana.

Kitu muhimu ni kuupata ukweli.
 
Nyani Ngabu, Kitila Mkumbo kabla hajanyamazishwa alipata kuandika kuhusu kamata kamata ya Lissu. Alisema kuwa serikali inapambana naye katika uwanja wake (LISSU) wa nyumbani na kwamba watarajie kushindwa vibaya. Hili la nepotism nalo siyo la kubeza kirahisi tu bila facts. Katika eneo la utaifa nchi hii inayo misingi iliyowekwa na waasisi wake. Tangu awamu ya nne tumekuwa tukiona taratibu misingi hiyo ikimomonyolewa ama kwa kutojua au kwa malengo binafsi ya wanasiasa. Before we dismiss allegations of nepotism we need to do thorough soul searching in the context of the political culture of this country. For example, is it true that the Treasury PS is a relative of the President? What about claims that before his appointment the ps was just a lowly staff at Tanroads? If these allegations are true then there is a serious problem; ni kinyume kabisa na misingi ya taifa hili.
 
...I get a little uncomfortable unapotumia jina "frankeinstein" ktk sentensi moja na mpendwa wetu Tundu Antipas Mughwai Lissu mzalendo nambari moja wa Tz na mtetezi wa wanyonge.

You know what...that bolded part is very revealing.

Calling him "mpendwa wetu" shows how much blinded you are. You are blinded by affection when it comes to him.

That's why you are looking at it viscerally and not reason.

Oh well...
 
Yake yakianza kubwagwa ataufyata tu.. nafikiri kwake kuna ile kuachiwa na kuangaliwa huku hajui wajuayo.. na hawezi kupata cheo anachotaka hadi wenzake wakubali(ndio maana wanatendeana majanga yanayoendelea kusisukumia kama vile ni serikali). naona ataendelea kupiga mdomo tuuuuu na kuishia alipo.. akitokea kupewa cheo makombora yatarushwa pwaaaaaa..
Hivi kuna mtu huwa anakuelewa unaandika nini?
 
Ngani Ngabu uko sahihi Al-Watan most of the people who are worshiping Lissu are doing it out of the need to hurt the CCM block psychologically!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Naona umekomaa kufanya siasa kutokea utumwani, USA baby, ha,ha,ha...
 
Lisu tutampa URAIS 2020 hamna namna nyingine tena ya kumlipa uzalendo aliotuonyesha Tundu Antipas Lissu. Mwisho wa utawala uchwara umewadia.
Get well soon Tundu Lissu "The Upcoming President Of The United Republic of Tanzania"
 
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,

Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Ni hapo utakapomwona anatembea. Dunia hii kila mtu na ngozi yake. Marando ile kitu mlifanya si sawa na hii mliyofanya,
sumu na risasi ni vitu viwili tofauti. Tundu atatembea na hamtaamini
 
Lisu tutampa URAIS 2020 hamna namna nyingine tena ya kumlipa uzalendo aliotuonyesha Tundu Antipas Lissu. Mwisho wa utawala uchwara umewadia.
Get well soon Tundu Lissu "The Upcoming President Of The United Republic of Tanzania"
Mkifanya hivyo Mh LOWASSA na mbowe nao itakuwaje. Mbona hamumpendi Lissu nyie, masikini hapa juzi juzi tuu maisha yake yaliingia hatarini, sasa mnataka alishwe sumu ya kuua taratibu hata ikifika 2019 sio yeye tena.
 
Back
Top Bottom