Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Wala msimdangaye kuwa yuko salama, mshaurini atumie hekima na busara. Anaweza kufanyiwa biashara ya butter system, wazungu sio wakuwaamini wenyewe maslahi yao kwanza.

Ukweli ndiyo huo anauanika hadharani na uzuri yuko sehemu salama na ataongea kila anachoamini na alichoona kabla na baada ya tukio husika.
Uzuri kuna circumstantial evidence ambazo atakuwa ame'join dots na kupata mlolongo mzima.
Interviews zake zitatupa mwanga zaidi, raha sana kuhojiwa mahali ambapo haubanwi na mtu yoyote kwani unakuwa unatiririka tu.
 
Wala msimdangaye kuwa yuko salama, mshaurini atumie hekima na busara. Anaweza kufanyiwa biashara ya butter system, wazungu sio wakuwaamini wenyewe maslahi yao kwanza.
Those chances for a butter shit exchange are very minimal na ni bora ku'take hiyo risk kuliko kujileta direct na kuchukuliwa kama kuku mwenye mdondo na "wasiojulika" na kuwa liquidated.
 
Ukweli ndiyo huo anauanika hadharani na uzuri yuko sehemu salama na ataongea kila anachoamini na alichoona kabla na baada ya tukio husika.
Uzuri kuna circumstantial evidence ambazo atakuwa ame'join dots na kupata mlolongo mzima.
Interviews zake zitatupa mwanga zaidi, raha sana kuhojiwa mahali ambapo haubanwi na mtu yoyote kwani unakuwa unatiririka tu.
Huo wa uko sisi wengine hatuusikilizi ila tunamngoja atakaoongea TBC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana impact yeyote huko BBC no bora hata angelikua hapa. Hata azunguke dunia nzima bado hatakua na impact.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kungekuwa hakuna impact yoyote,mbona mmeongozana humu mkiweweseka! Kwa muda tumfanye Lissu ni kichaa, amekuja manzese amekukuta unaoga kwenye bafu la nje lisilopauliwa na nguo umeweka juu ya ukuta. Lissu kavuta nguo zote akaanza kukimbia nazo,nawe wamfuata nyuma ukiwa uchi. Nani ataonekana kichaa kati ya wewe uliye uchi,na yeye aliye na nguo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ananyoa kiduku lakini ana akili, Kuliko Jiwe asie na akili , eti ana PhD anashindwa kusema intapretinyuaaaaa :p :p
Usishangae Tanzania tutaingia kwenye Guinness book soon, kwa sababu kuna wanafunzi wamefaulu mtihani wa darasa la saba lakini hawajui kusoma na kuandika, sasa hao wanaweza kuendelea ukasikia wana PHD siku za sioni lakini kuongea kiingereza hawajui ila mtihani watakuwa walifanya kwa kiingereza.

So ndo Jiwe, ana PhD alafu hajui kingereza.....eti intaprentinyuaaaaaa
 
View attachment 1000477View attachment 1000477
Tundu Lissu MP
HARDtalk

HARDtalk's Stephen Sackur speaks to Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu. Tanzania is one of Africa's fastest growing nations economically and demographically - it's also governed by one of the continent's most controversial leaders: president John Magafuli, otherwise known as the 'Bulldozer'. Tundu Lissu is one of his leading domestic opponents, at least he was, until gunmen pumped more than 20 bullets into his body in 2017. Lissu survived and has rejoined the fight against a ruler he describes as a petty dictator. But maybe Tanzanians like strong man rule?
Ipo 03.30 21st Jan saa za Dar saa 07.30 asubuhi saa za dar
 
Attachments

  • Screenshot_2019-01-20-21-24-58.png
    Screenshot_2019-01-20-21-24-58.png
    21.2 KB · Views: 29
  • Screenshot_2019-01-20-22-05-45.png
    Screenshot_2019-01-20-22-05-45.png
    22.1 KB · Views: 31
Tv Yangu inaonyesha hard talk 00.30 am 21/1/19 Ngoja niivute usingizi Ili niamke nimsikilize
 
Attachments

  • 4C2CD0B4-3DF2-4B19-9A58-F044DAEFE0E6.jpeg
    4C2CD0B4-3DF2-4B19-9A58-F044DAEFE0E6.jpeg
    149.3 KB · Views: 31
Back
Top Bottom