Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Muongo wewe.

Bandiko langu la kwanza hapa nimeandika “so what”.

Wewe ukakimbilia kunitukana kwa kuniita mimi mpenzi wako.

Acha uongo wewe.
Is mpenzi a tusi? does it carry any negative connotation? mama yangu hawawezi kuwa mpenzi, tunasemaga kipenzi changumama, kipenzi changu baba.. is that bad? kwanini umejishuku na ubaya wa neno mpenzi? Kwaheri, leo inatosha! Have agood day/night (sijui huko ni daytime or night time)
 
Kaka umepitiliaza ushabiki. Siamimi kama kweli huoni kuwa huyu bwana amepata attention ya duniaiwe ni negative au positive lakinikuna impact. Tusijifanye kuwa hakuna tatizowakati lipo. Kazi kubwa kwa sasa ni counter hizo move zke kuleta positivity. Sio kujifanya hakuna tatizo.Huu ni wakati wa kutumia akili zetu nasio kushabikia kitoto kama tunataka kusiadia nchi yetu. Kunawatu wanalipwa kwakazi hii tuwasaidie.

Kupitiliza ushabiki ni kushobokea hits za kwenye mtandao.

Mimi nawarudisha kwenye mstari.
 
Watu wazima mnatukanana bila haya wala soni, kwa nijuavyo mimi hizo ndizo tamaduni zetu hasa wabongo kwa mfano hizo hits 80 million angezipata MAGUFULI hapa kuanzia wakudadavua, isis, Lizabon na wengine wa ccm wangekuja na nyuzi humu za kumsifia na kumpamba kwa hizo hizo hits 80milion wanazipondea kwa lisu.

Kwa vile hao wakina wakudadavua na kundi lake wakiwa wakimsifia Magufuli kwa hizo hits 80 million Chadema nao wangekuja kupondea hapa ya kuwa hizo hits 80 zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini? au zitzmaliza kelo ya maji? au zitamaliza ufisadi?

Mfano waraka wa maaskofu ccm waliupinga kwa nguvu zote na kuwakejeri maaskofu kwa ule waraka CHADEMA wakawasifia sana maaskofu vivyo hivyo kwa kakobe alivyosema magu akatubu kakobe alishambuliwa sana na ccm na kupewa majina yote yasiyofaa haitoshi wakahoji na uraia wake na TRA ikaenda kuchunguza mapato ya kanisani kwake.

Leo kakobe kapiga uturn karudi kwa kumsifia MAGU wale wale waliyomwita majina ya ajabu kakobe ambao ni ccm wanampongeza saa hizi kawa raia wa Tanzania na CHADEMA wanamponda kakobe kwa kuyakana maneno yake ya kutaka mkuu akatubu .

Lazima tuvumiliane pande zote mbili matusi hayasaidii wala hayajengi japo ni fake id lakini tuheshimiane na tustahimili kwa kijibishana kwa hoja na sio matusi kama mfanyavyo Nyani Ngabu na Retired.

Ukweli mchungu sana TUNDU LISU kwa yale mahojiano kuna kitu kaongeza wote pande zote mbili tunalijua hilo ila wengine hawawezi kusema kwa vile LISU yupo chadema tukumbuke mtaji wa mwanasiasa ni wanachama na umaarufu pia mtake msitake.

na ukweli lazima usemwe CCM wana mambo mengi sana ya hovyo na mara nyingi huwa huyatetea mwisho wa siku yakibuma wanageuka kama sio wao mfano ishu ya kikokotoo walisema kipo sawa mambo yalipogeuka wakaandaa na maandamano ya kumpongeza magu kwa hiyo ndivyo tulivyo tuvumiliane.

LOWASA alipokuwa ccm hakuwa fisadi kwa wana ccm ila ailikuwa fisadi kwa chadema ila alipohamaia chadema ikawa kinyume chake , kwa wanaccm sasa wao ndiyo wakamuona fisadi kuu, ukweli mchungu ila tuvumiliane mbishane kwa hoja na sio matusi,
Hahahaha mkuu siasa hizi bwana inakubidi uwe passive kweli la sivyo utu wako wote unauondoa!
 
Watu wanahasira na maisha magumu! Jambo la kawaida tu wanangaika kulifanya liwe gumuuuu.
 
Kwangu mimi Tundu Lissu anatakiwa kuwa CASE STUDY kwa wanafunzi wa ngazi zote namna ya kuwa na uwezo wa kujieleza na kujenga hoja. Ukitoa Mwalimu Nyerere, nadhani Tundu Lissu ni the best kwenye eneo hili.
 
Mpaka sasa tangu interview yake na Stephen Sacker, kuna hits 82 milioni katika search engine za google na yahoo nyingi kutoka Europe na USA zikisearch Tundu Lisu ni nani!
Hizo ni kura milioni 82 tayari. Akigombea urais mwaka 2020 hakuna sababu ya kampeni. Online voters. Tehe tehe heeeee!
 
sio lazima mtu uwe amewahi kuangalia HARDtalk...

by Western media standards there is nothing particularly unique about HARDtalk, granted it has its own stylistic identity and journalist's personality. But most of the world class press is exactly that way in conducting interviews especially with politicians: deeply probing questions, playing devil's advocate, follow up question, interrupting, fast paced, provocative, and more than anything, researched questions!

ni kweli hizi sio interview za kina Marina Hassan na Sam Mahela, kila akimaliza kuuliza swali anasema "karibu mheshimiwa..." Karibu? Unacheza wewe! Yani vi interview vya kibongo viko nyoro nyoro nyoroooo!

Tundu Lissu ambae kwa miaka 40 ya harakati zake amekuwa akihojiwa na the Sam Mahela types kwa kweli amejitahidi sana sana sana, japo kulikuwa na mapungufu kadhaa.

Kipindi kili last 22 minutes, karibia nusu ya muda huo ni mwandishi anajenga maswali na kuku interrupt, inakuachia just about 15 minutes. You have 15 minutes kuieleza dunia madhambi ya Tanzania na harakati zako za upinzani maishani au za CHADEMA toka vyama vingi virudishwe au za miaka mitatu hii ya Magufuli. Hutakiwi ku waste time kwa kurudia rudia jina la mwandishi "Mister Sackur... Steve... Stephen...Mister Sackur..." kabla ya kuanza kujibu swali. Which was a total and head spinning surprise to me kwa sababu Tundu Lissu ni mbunge ambae huwa hawesti time hata siku moja kumshukuru Mungu, mkewe na watoto kabla ya presentation bungeni. Lakini kimsingi alijibu maswali substantively enough.

Watanzania tufike mahali tuache unafiki, ushambenga na chuki binafsi.
Tundu Lissu ni Mtanzania yuko nje ya nchi kwa sababau ya UNYAMA wa kutaka KUMWUA aliofanyiwa na WATAWALA wetu ambao mpaka dakika hii HAWAJAKAMATA MTU YEYOTE ALIYEHUSIKA NA JARIBIO HILO tena mchana kweupe.Mhe. Tundu Lissu aliongea na kujibu maswali kwa ujasiri na umahiri mkubwa. Mnyonge mnyongeni lakini HAKI yake anayostahili mpeni!!

Lakini pia kinachokarihisha na kuudhi zaidi ni BUNGE la JMT chini ya huyu SPIKA MWENDAWAZIMU kuwahi kutokea Tanzania KUKATAA KULIPA GHARAMA ZA MATIBABU YA MBUNGE LISSU...!!!Very shameful.

Haya tuseme ule ukweli...Hivi kipindi hichi cha HARDTalk kingelifanyika hapa Tanzania kwenye studio iwe ni TBC?,ITV,CH10, STARTV na mahojiano yawe kati ya RAIS JOHN POMBE MAGUFULI na STEVE SACKUR leo Watanzania wangelikuwa wanaongea nini....Tujaribu tu kujifanya kama tunajikuna...!!Kwamba The HARDTalk programme today is between BBC Presenter Steven Sackur and President of Tanzania H.E,John Pombe Magufuli...STAY TUNED...!!!
Mbona watu wangelibaki vinywa wazi!!
 
Baada ya kumsikiliza TAL, his main point ni kutetea sheria na KATIBA iliyopo. Kama katiba inataka jambo fulani litekelezwe kwa utaratibu fulani bas na liheshimiwe, kama hulitaki si unatoa tamko tu, fata utaratibu wa kubadili sheria basi. Hakuna sehem ametetea ushoga, ametetea katiba inavyosema.
 
Wazungu wana msemo wao kuwa No permanent friends no permanent enemies but permanent interests. Hivyo basi ukisikiliza ile hardtalk ya BBC utaona mwandishi anajua kuwa Watanzania wengi wanamuunga mkono Rais Magufuli na ya kuwa Rais anafanya mengi.

Pia mwandishi anaelewa aina ya wapinzani tulio nao na kwa kumhoji Lissu na kuona merely accusations zake mwandishi anajua Magufuli ana nguvu zaidi.

Aidha baada ya misimamo ya Rais wetu kujulikana Africa na duniani ni ukweli ulio wazi kuwa Mabeberu hao wanahitaji amani na kujipendekeza kwa Rais zaidi kuliko kumsikiliza na kumuunga mkono Lisu.

Lisu hawezi kulinda wa kufulfil interest zao hapa Tanzania.

Lisu kuwa makini hao wanaokukopesha nauli utawalipaje? Na je utawalipa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweeendraa kule walahi mcharuko wa Chadrama uliyefukuzwa kwa ajili ya uwizi wa fedha za chama sasa naona umehamia kwa wezi wenzako walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Title yako imekaa kana kwamba Mh. Lissu ndiye kaongea hayo maneno yanayofuata baada ya nukta pacha.
 
Wazungu wana msemo wao kuwa No permanent friends no permanent enemies but permanent interests. Hivyo basi ukisikiliza ile hardtalk ya BBC utaona mwandishi anajua kuwa Watanzania wengi wanamuunga mkono Rais Magufuli na ya kuwa Rais anafanya mengi.

Pia mwandishi anaelewa aina ya wapinzani tulio nao na kwa kumhoji Lissu na kuona merely accusations zake mwandishi anajua Magufuli ana nguvu zaidi.

Aidha baada ya misimamo ya Rais wetu kujulikana Africa na duniani ni ukweli ulio wazi kuwa Mabeberu hao wanahitaji amani na kujipendekeza kwa Rais zaidi kuliko kumsikiliza na kumuunga mkono Lisu.

Lisu hawezi kulinda wa kufulfil interest zao hapa Tanzania.

Lisu kuwa makini hao wanaokukopesha nauli utawalipaje? Na je utawalipa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchafuko wa chadrama huu walahi, mlizani lisu atakufa walahi sasa mnajuta walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
-wazungu wanakubali maendeleo anayofanya Raisi

-Tundu Lissu anatetea Mashoga

-Tundu Lissu analazimisha nchi nyingine zichukie na kusitisha mishaada Tanzania

- No matter what anataka Tanzania ifeli tu ili wao wapate pa kuchoporokea

-Kila baya au ujambazi unaotokea Tanzania anataka Rahisi alaumiwe ( mfno Kwenye sakata la kibiti Japo walengwa walikuwa CCM)

-Data za uongo (kuhusu watu kufa na wapinzani kulipwa ili wahame)

Maoni
Sometimes ili nchi iendelee watanzania ni Tushikamane na kuombea mazuri ya nchi na si kupinga imradi tupate sifa
Nyie wajinga tu,wazungu wangeyaona hayo maendeleo anayoyafanya si wangempa pesa ya kujengea SGR,exchange ya Ubungo na barabara ya ubungo chalinze.Ulivyo mjinga zaidi unaesema waliouwa kibiti walikuwa wanaccm so rais asilaumiwe,kwani mtu akishakuwa ccm au chadema anauvua utanzania
 
Hahaha huyu jamaa alikuja humu akasema kasha ihama CHADEMA kajiunga na CCM. Lakini picha yake ni ile yakombati za CHADEMA. Halafu kila siku anaandika nyuzi kuiponda CHADEMA, tangu ajiunge na CCM hajawahi kuleta uzi hata mmoja wa kuisifia CCM yeye ni kuiponda chadema au kiongozi wa chadema. CCM hujaijua tu uanze kutuletea makala za viongozi wa huko CCM? kuna kipindi alimuandama Mbowe humu, akapuuzwa akapotea.
Swali langu kwako mleta mada. Ni lini utaondoa picha ya kombati nikuone umevalia Gamba? hii itanidhihirishia kweli kombati hulitaki. Ni lini utaanza kutuletea makala za kusifia wana Lumumba?
Hizi nyuzi zako ni kama promo kwa LIsu., maana kila siku mnamtaja humu, sasa tunataka za huko CCM pureeeez.
 
Wazungu wana msemo wao kuwa No permanent friends no permanent enemies but permanent interests. Hivyo basi ukisikiliza ile hardtalk ya BBC utaona mwandishi anajua kuwa Watanzania wengi wanamuunga mkono Rais Magufuli na ya kuwa Rais anafanya mengi.

Pia mwandishi anaelewa aina ya wapinzani tulio nao na kwa kumhoji Lissu na kuona merely accusations zake mwandishi anajua Magufuli ana nguvu zaidi.

Aidha baada ya misimamo ya Rais wetu kujulikana Africa na duniani ni ukweli ulio wazi kuwa Mabeberu hao wanahitaji amani na kujipendekeza kwa Rais zaidi kuliko kumsikiliza na kumuunga mkono Lisu.

Lisu hawezi kulinda wa kufulfil interest zao hapa Tanzania.

Lisu kuwa makini hao wanaokukopesha nauli utawalipaje? Na je utawalipa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ungejiuliza Rais Trump hajui huku kuna Rais mwenzie wa muda mrefu zaidi kuliko yeye si ndiye angealikwa White House bila kukopeshwa nauli?
 
Back
Top Bottom