Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Mpaka sasa tangu interview yake na Stephen Sacker, kuna hits 82 milioni katika search engine za google na yahoo nyingi kutoka Europe na USA zikisearch Tundu Lisu ni nani!
Lissu alitisha sana kwenye ile BBC Hardtalk.
 
tz}chad.gif
 
Basi kwa hizo hits tuzigeuze ni kura.
Kwa hiyo hizo ni kura million 82.
Kwa mamlaka niliyo nayo na mtangaza Lissu kuwa ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa upande wa hits..
Haya mleteni ale kiapo...
 
Taifa kama taifa bado sis vijana tunasafari ndefu sana, sijui mleta thread atakuwa katokea mitaa ya kijiji cha ufipa, Asubuh unaamka na huu upupu..

Hizo hit 80Mil zitamsaidia vipi yule mkulima aliye kura yake kule kijijini
 
Mpaka sasa tangu interview yake na Stephen Sacker, kuna hits 82 milioni katika search engine za google na yahoo nyingi kutoka Europe na USA zikisearch Tundu Lisu ni nani!
Nikajua za TZ. Kazi kweli kweli.
 
Mpaka sasa tangu interview yake na Stephen Sacker, kuna hits 82 milioni katika search engine za google na yahoo nyingi kutoka Europe na USA zikisearch Tundu Lisu ni nani!

mkuu utasababisha watu wazirai huko Lumumba.
 
You kamandas are so incredibly stupid!

Eti Lisu ana hits sijui ngapi....

I mean, really??? Hilo nalo ni la kujivunia? Ni bonge la accomplishment eeh??

Watu walio na low standards utawajua tu.

Stupid kamandas.
hahahaha... alafu ndio wanategemea kushika dola hao... labda kama wakisemaga dola huwa wanamaanisha USD $ [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom