Sawa kabisa unayosema. Mwandishi alipomuuliza Lissu aseme msimamo wake kuhusu ushoga, akaishia kusema kwamba Waziri Mahiga alitoa tamko.... Mwandishi akamkatisha kwamba Waziri ni mtu wa serikali. Yeye mwenyewe anasemaje kuhusu ushoga? Akakimbilia kunukuu Katiba inayosema tusiingie kwenye vyumba vya watu kujua yanayojiri huko. Sijui kama kweli Katiba yetu inasema hivyo. Baada ya kushindwa kupata msimamo wake halisi kuhusu ushoga, mwandishi akaachana na swali hilo. Kama Lissu anakubaliana na ushoga, aende akaolewe huko kwa Wazungu. Hapa Tanzania si Wakristu na si Waislamu wanakubaliana na ushoga. Nakubaliana na wewe Watery unavyomalizia kwamba inatupasa Watanzania tushikamane kwa kuungana na serikali yetu kuleta maendeleo ya nchi. pale tunaona kuna dosari tuikosoe kwa njia halali. Si kwa kuenda nje ya nchi na kuanzia kuisemea nchi yetu mabaya na kuishinikiza mabaya.-wazungu wanakubali maendeleo anayofanya Raisi
-Tundu Lissu anatetea Mashoga
-Tundu Lissu analazimisha nchi nyingine zichukie na kusitisha mishaada Tanzania
- No matter what anataka Tanzania ifeli tu ili wao wapate pa kuchoporokea
-Kila baya au ujambazi unaotokea Tanzania anataka Rahisi alaumiwe ( mfno Kwenye sakata la kibiti Japo walengwa walikuwa CCM)
-Data za uongo (kuhusu watu kufa na wapinzani kulipwa ili wahame)
Maoni
Sometimes ili nchi iendelee watanzania ni Tushikamane na kuombea mazuri ya nchi na si kupinga imradi tupate sifa
Mkuu kwa umri huo hata katiba ya nchi yako huijui? wewe ni mtanzania kweli, sasa unaandika nini kama unachopinga hukijui?!!!Sawa kabisa unayosema. Mwandishi alipomuuliza Lissu aseme msimamo wake kuhusu ushoga, akaishia kusema kwamba Waziri Mahiga alitoa tamko.... Mwandishi akamkatisha kwamba Waziri ni mtu wa serikali. Yeye mwenyewe anasemaje kuhusu ushoga? Akakimbilia kunukuu Katiba inayosema tusiingie kwenye vyumba vya watu kujua yanayojiri huko. Sijui kama kweli Katiba yetu inasema hivyo. Baada ya kushindwa kupata msimamo wake halisi kuhusu ushoga, mwandishi akaachana na swali hilo. Kama Lissu anakubaliana na ushoga, aende akaolewe huko kwa Wazungu. Hapa Tanzania si Wakristu na si Waislamu wanakubaliana na ushoga. Nakubaliana na wewe Watery unavyomalizia kwamba inatupasa Watanzania tushikamane kwa kuungana na serikali yetu kuleta maendeleo ya nchi. pale tunaona kuna dosari tuikosoe kwa njia halali. Si kwa kuenda nje ya nchi na kuanzia kuisemea nchi yetu mabaya na kuishinikiza mabaya.
Ndio umeongea nini sasa !!? Acha kukarili maisha kwani haujui kwamba sir isaq newton alifeli kabisa shule " albert Einstein ndio alikuwa kilaza kabisaa wakati wa makuzi yake ... lakini sasa hivi dunia nzima inautambua mchango wao ulivyo katika sekta ya elimu .....Great thinker angesoma sheria boss? Uliza darasa lake la sekondari. Tangu form 1 hesabu, fizikia na kemia, elimu viumbe na jiografia aliishia kupata maks 20 tu!
Usichukie lakini!
Tundu Lissu MP
HARDtalk
HARDtalk's Stephen Sackur speaks to Tanzanian opposition MP, Tundu Lissu.
Tanzania is one of Africa's fastest growing nations economically and demographically - it's also governed by one of the continent's most controversial leaders: president John Magafuli, otherwise known as the 'Bulldozer'.
Tundu Lissu is one of his leading domestic opponents, at least he was, until gunmen pumped more than 20 bullets into his body in 2017.
Lissu survived and has rejoined the fight against a ruler he describes as a petty dictator. But maybe Tanzanians like strong man rule?
The Tanzanian opposition politician, Tundu Lissu says he is "more than ready" to run for the presidency of Tanzania in 2020 if his party wants him to.
Mr Lissu, who is chief whip for the Tanzanian opposition party Chadema, is currently living in Belgium where he has been undergoing medical treatment after an assassination attempt in Tanzania in 2017. He has undergone 20 operations.
He told Hardtalk's Stephen Sackur he would return to Tanzania when the doctors declared him "fit to go". When he returned, the government would have a responsibility to ensure he was safe.
Mr Lissu also said he believed Tanzania's laws against homosexuality violated people's right to privacy and so were unconstitutional.
"We should never allow the government to start peeping into people's bedrooms," he said.

Hizo hadithi za mitaani. Newton hakuwahi kufeli na Eistein hakuwahi kufeli. Mafanikio yao na kujulikana walikuwa ktk taasisi za kueleweka. Walifikaje ktk taasisi hizo kama walifeli? Acha mambo ya mitaani.Ndio umeongea nini sasa !!? Acha kukarili maisha kwani haujui kwamba sir isaq newton alifeli kabisa shule " albert Einstein ndio alikuwa kilaza kabisaa wakati wa makuzi yake ... lakini sasa hivi dunia nzima inautambua mchango wao ulivyo katika sekta ya elimu .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa yaani mimi nichukie kisa mambo ya lissu .. unajielewa kweli wewe !!?Hizo hadithi za mitaani. Newton hakuwahi kufeli na Eistein hakuwahi kufeli. Mafanikio yao na kujulikana walikuwa ktk taasisi za kueleweka. Walifikaje ktk taasisi hizo kama walifeli? Acha mambo ya mitaani.
Niliomba hivi,.. Usichukie!
Sawa kabisa unayosema. Mwandishi alipomuuliza Lissu aseme msimamo wake kuhusu ushoga, akaishia kusema kwamba Waziri Mahiga alitoa tamko.... Mwandishi akamkatisha kwamba Waziri ni mtu wa serikali. Yeye mwenyewe anasemaje kuhusu ushoga? Akakimbilia kunukuu Katiba inayosema tusiingie kwenye vyumba vya watu kujua yanayojiri huko. Sijui kama kweli Katiba yetu inasema hivyo. Baada ya kushindwa kupata msimamo wake halisi kuhusu ushoga, mwandishi akaachana na swali hilo. Kama Lissu anakubaliana na ushoga, aende akaolewe huko kwa Wazungu. Hapa Tanzania si Wakristu na si Waislamu wanakubaliana na ushoga. Nakubaliana na wewe Watery unavyomalizia kwamba inatupasa Watanzania tushikamane kwa kuungana na serikali yetu kuleta maendeleo ya nchi. pale tunaona kuna dosari tuikosoe kwa njia halali. Si kwa kuenda nje ya nchi na kuanzia kuisemea nchi yetu mabaya na kuishinikiza mabaya.
Umeligaragaza kabisa litoa mada chali.Nilichojifunza kwa watesi wake ni kwamba wanataka aeleze ni kwa kiasi gani watu wasiojulikana wanajua kulenga shabaha kutokana na umahiri wao wa mafunzo ya kijeshi
Wanataka aeleze ni kwa kiasi gani serikali na bunge vilivyofanikisha matibabu yake na jinsi JPM alivyojitolea kwa namna ya kipekee kumtibu na kumuombea
Wanataka aeleze jinsi maiti zinavyoelea vzr kwenye maji zikiwa kwenye viroba
Wanataka aeleze jinsi demokrasia ilivyokua na namna ambavyo rais wetu mpendwa anavyowapenda wapinzani
Wanataka aeleze jinsi nchi inavyopaa kiuchumi chini ya uongozi ambao haujawahi kutokea wa dakta John Pombe Magufuli
Aeleze namna wafanyakazi wanavyolipwa mamilioni ya mapesa na jinsi ajira zinavyotolewa kwa wingi
Wanataka ahame Chadema ili aunge mkono juhudi
Wanataka CCM ibaki peke yake milele
-wazungu wanakubali maendeleo anayofanya Raisi
-Tundu Lissu anatetea Mashoga
-Tundu Lissu analazimisha nchi nyingine zichukie na kusitisha mishaada Tanzania
- No matter what anataka Tanzania ifeli tu ili wao wapate pa kuchoporokea
-Kila baya au ujambazi unaotokea Tanzania anataka Rahisi alaumiwe ( mfno Kwenye sakata la kibiti Japo walengwa walikuwa CCM)
-Data za uongo (kuhusu watu kufa na wapinzani kulipwa ili wahame)
Maoni
Sometimes ili nchi iendelee watanzania ni Tushikamane na kuombea mazuri ya nchi na si kupinga imradi tupate sifa
Nilichojifunza ni kwamba katika mahojiano walikutana wote ambao walikuwa ni vichwa watupu, mtangazaji alijua kuwa Lissu ni mpinzani wa serekali na hakuna mtu wa serekali aliyekuwepo kuitetea serekali hivyo ilibidi asimame upande wa serekali kwa kueleza mazuri ya serekali ili Lissu atoe ukosoajii wake na kueleza udhaifu wa serekali kwa upana zaidi, na hapa ndipo CCM wengi walipoingizwa mkenge kwa kujiona kuwa mtangazaji alikuwa upande wa serekali hata wengine wakasema kuwa ni mwana chama wao wa CCM, wakati lengo lake la kuwa upande wa serekali kwa kueleza mazuri ya serekali ilikuwa ni kumpa nafasi Lissu kuzidisha ukosoaji wa kiutendaji wa serekali iliopo madarakani.