Tundu Antipas Lissu akikabidhiwa nakala za Sera za Chama na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe Patrick Sosopi leo nyumbani kwake Tienen, Brussels

Hivi kulikuwa na haja gan ya kumpelekea hayo ma hardcopy wakat wangetuma softcopy tuu kupitia e-mail au hata watsapp tuu. Halafu baadae mnaanza kunyooshea wengine vidole kuwa wana matumizi mabaya ya rasilimali.

Aliyetufunga maarifa yetu kweli alituweza kisawa sawa
Ni kweli, hata mikutano ya nje video call zihusike ili tupunguze bajeti
 
Kulipwa Foreign perdiem ya wiki mbili

Nauli ya ndege kwenda Na kurudi

Wakati hiyo soft copy ya hiyo sera wangeweza Hata kumtumia Kwa email
Ni kweli ingeweza kutumwa kwa soft copy, na fedha ingeokolewa. Ahsante sana wewe na wenzio mnaojali sana fedha zinazotumika hapa. Lakini inashangaza kwamba hamguswi kabisa na ukweli kwamba serikali imejitenga na matibabu ya huyu mtu. kwamba watanzania kwa pamoja wamemchangia na wanaendelea kumchangia, serikali yao ikijitenga.

Kwenda kwa Sosopi au mwingine ni muhimu, ikiwa ni pamoja na kufika pale na kumsalimia. kufika pale na kumpa ujumbe ambao hauwezekani kupelekwa kwa electronic. ni jambo jema sana kamanda akutane ana kwa ana na wapambanaji kutoka nyumbani. hata kama wewe ungelazwa muhimbili, ungeona thamani ya mtu kuja kukuona. akikupigia simu ni jambo moja. kuja kukuona ni jambo tofauti. Tundu Lissu, kwa kujitoa kwake kwetu, anastahili angalau hiyo privilege ya kutembelewa.

Tunajua roho mbaya ya watu wa CCM, wamekatazwa kumtembelea. kama akina Ndugai hawataki kumtembelea, tuacheni tumtembelee. chuki na wivu wote huo...pilipili msiyoila inawawashia nini?
 
CHADEMA kweli wameisha! Kwa hiyo hii ni kazi ya Mwenyekiti wa vijana wa upinzani. Eti ame-make headline.
 
Dah...yaani unalinganisha matumizi ya mamilioni ya kupeleka nakala 3 ulaya na ya kununua drimulain..... kweli?
Acha umbea kijana, kwa akili zako hiyo inawezekana? Hao wana mambo yao ya kujadili na mengineyo ambayo sisi hatuwezi fahamu, wasomi wengi wa nchi yenu wakishaingia katika siasa wanakuwa vilaza(usije ukawa miongoni mwao).
 
Lisu namuombea uzima, and i hope atarudi na siasa za kistaarabu, names like rubbish report, ma ccm, juma pondamali etc were provocative, he should abstain from using them. Ain't healthy.
This is a very big conspirancy, but i totally doubt magufuli had anything to do with it, wauwaji wa serikali wasingemkosa, ila nahisi kuna extremists wa hatari sana ndani ya serikali, and maybe they are the ones responsible, or just another killers with other motives of dividing and conquering them.
Tuwe macho sana wazee.
Peace
Mmeanza kumtetea jiwe, kwa hilo hachomoki. Huwezi kuwa amiri jesh halafu nadani ya nchi kuna wasiojulikana, halafu kamera zinang'olewa
 
thamani ya lissu ni kubwa kuliko hii ccm yako , ni thamani kubwa kuliko wewe binafsi pamoja na ndugu zako wote walio hai na waliokufa wakiwemo wazazi wako wote wawili .

Unapoandika kwenye jukwaa hili unapaswa kuwa na adabu sana vinginevyo utadhalilika vibaya mno ! hili ni onyo langu la mwisho kabisa kwako
Hahaha kumbe huyo kafiwa na wazazi wake wote wawili ?

Maneno mazito sana haya ,usije kuwa unawazika walio hai ,kwa upumbavu wa mwanae ukawahukumu wazazi wake
 
Ni kweli, hata mikutano ya nje video call zihusike ili tupunguze bajeti
Miaka kadhaa iliyopita mikutano ya nje bombadier nzima ilikuwa inajaa utadhani twaenda kwenye sherehe, saiv kaulize watakupa jibu swadakta
 
Huyo Sosopi ukimuuliza Maswali kuhusu kilichomo kwenye hiyo sera Hana anachokijua

Wamemtafuta Mchaga mmoja Mjanja Mjanja pale Mzumbe campus ya Dsm ( namhifadhi Kwa jina ) akapewa kandarasi ya kutengeneza hiyo sera then akawaandalia executive summary ya hiyo sera ndio wakaenda nayo kwenye walichokiita Uzinduzi
Unafiki na roho mbaya tu
 
Huyo Sosopi ukimuuliza Maswali kuhusu kilichomo kwenye hiyo sera Hana anachokijua

Wamemtafuta Mchaga mmoja Mjanja Mjanja pale Mzumbe campus ya Dsm ( namhifadhi Kwa jina ) akapewa kandarasi ya kutengeneza hiyo sera then akawaandalia executive summary ya hiyo sera ndio wakaenda nayo kwenye walichokiita Uzinduzi
Nchi zote duniani hutumia mfumo huo ambao wewe unauponda. Wanatumia wasomi kuleta mawazo yao ya kisomi na nchi hua zinasonga mbele. Hivi unajua over 75% ya anachokifanya JIWE sasa hivi ni copy and paste ya Chadema!? Chadema walikaa na hao hao unao waita wajanja wajanja kuibua hizo changamoto na na namna ya kuzitatua hizo changamoto; kwa akili yao unawadharau Chadema kwa walicho kifanya but ukweli sehemu zingine za dunia, ndicho ambacho kinatakiwa kufanyika. Kazi ya kiongozi (mfano Mbowe) sio kujua kila kitu, kazi yake ni kuunganisha dots ili apate kitu kimoja and that is what he is doing.
 
Hata mie namfahamu anatoka kanda ya kaskazini
Huyo mchaga mjanjamjanja wa talkshow,SACCOS ya wachaga inaandikiwa sera zake na mchaga mwenzao ,sana sana anaandika sera za kichaga huku akinywa mbege'mapovu ruksa ni na lumbesa ya nguo chafu
 
Pia ananikumbushia Peter Tosh! Tosh anasema kila mtu analilia amani, lakini hakuna anayelilia haki na usawa...Anasema "I man dont need no peace! I need equal rights and justice"

Everyone is crying out for peace, yes
None is crying out for justice
Everyone is crying out for peace, yes
None is crying out for justice
I don't want no peace
I need equal rights and justice
I need equal rights and justice
I need equal rights and justice
Got to get it, equal rights and justice
Everybody want to go to heaven
But nobody want to die (father of the Jesus)
Everybody want to go up to heaven
But none of them, none of them want to die
I don't want no peace
I man need equal rights and justice
I got to get it, equal rights and justice
I really need it, equal rights and justice
Just give me my share, equal rights and justice
What is due to Caesar
You better give it all to Caesar, yeah, yeah, yeah
And what belong to I and I
You better, you better give it up to I
'Cause I don't want no peace
I need equal rights and justice
I need equal rights and justice
I've got to get it, equal rights and justice
I'm a fighting for it, equal rights and justice
Everyone is heading for the top
But tell me how far is it from the bottom
Nobody knows but everybody fighting to reach the top
How far is it from the bottom
I don't want no peace
I need equal rights and justice
I need equal rights and justice
I've got to get it, equal rights and justice
I really need it, equal rights and justice
Everyone is talking about crime
Tell me who are the criminals
I said everyone is talking about crime, crime
Tell me who, who are the criminals
I really don't see them
I don't want no peace
I need equal rights and justice
We got to get equal rights and justice
And there will be no crime, equal rights and justice
There will be no criminals, equal rights and justice
Everyone is fighting for equal rights and justice
Palestinians are fighting for equal rights and justice
Down in Angola, equal rights and justice
Down in Botswana, equal rights and justice
Down in Zimbabwe, equal rights and justice
Down in Rhodesia, equal rights and justice



Mkuu wewe lazma utakua mchaga
Hizi nyimbo za luck dube na P,Tosh kila nikiingia bar za wachaga lazma niziskie
 
Huyo Sosopi ukimuuliza Maswali kuhusu kilichomo kwenye hiyo sera Hana anachokijua

Wamemtafuta Mchaga mmoja Mjanja Mjanja pale Mzumbe campus ya Dsm ( namhifadhi Kwa jina ) akapewa kandarasi ya kutengeneza hiyo sera then akawaandalia executive summary ya hiyo sera ndio wakaenda nayo kwenye walichokiita Uzinduzi
Kwani tatizo liko wapi.kwanini unatumia kabila la mtu kwenye issue ambayo haihitaji ukabaila.jamani tuwe wastarabu nchi hii ni yetu sote
 
Idiot dimwit
Wakwe zangu wana msemo kuwa kima alikaa juu ya jiwe akajamba halafu alipoona jiwe lipo kimya akaliambia ‘pamoja na ukimya wako ila harufu umekuingia’ . Ukweli ni ukweli ingawa mchungu! Mkosoaji akikosolewe huwa kama wewe
 
Back
Top Bottom