Tundu Antipas Lissu akikabidhiwa nakala za Sera za Chama na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe Patrick Sosopi leo nyumbani kwake Tienen, Brussels

Huyo Sosopi ukimuuliza Maswali kuhusu kilichomo kwenye hiyo sera Hana anachokijua

Wamemtafuta Mchaga mmoja Mjanja Mjanja pale Mzumbe campus ya Dsm ( namhifadhi Kwa jina ) akapewa kandarasi ya kutengeneza hiyo sera then akawaandalia executive summary ya hiyo sera ndio wakaenda nayo kwenye walichokiita Uzinduzi
Ouch!
 
Hivi kulikuwa na haja gan ya kumpelekea hayo ma hardcopy wakat wangetuma softcopy tuu kupitia e-mail au hata watsapp tuu. Halafu baadae mnaanza kunyooshea wengine vidole kuwa wana matumizi mabaya ya rasilimali.

Aliyetufunga maarifa yetu kweli alituweza kisawa sawa
True walahi
Na picha ndio muhimu kwao
 
Akae huko huko msaliti huyo walahi
thamani ya lissu ni kubwa kuliko hii ccm yako , ni thamani kubwa kuliko wewe binafsi pamoja na ndugu zako wote walio hai na waliokufa wakiwemo wazazi wako wote wawili .

Unapoandika kwenye jukwaa hili unapaswa kuwa na adabu sana vinginevyo utadhalilika vibaya mno ! hili ni onyo langu la mwisho kabisa kwako
 
Km lissu ni Mungu au Malaika bhac upo sahihi, Ila km ni muhuni flani hv amazing bhac nakuonea huruma sana.

Anyway, kuna mengi inabid ujifunze ili ubadili mtazamo wako na kuwa positive, vinginevyo hutoacha kulalamika had mwisho wa dunia yako
 
Kwenye docs wakati wa ukaguzi wa matumizi ya fedha utakuta safari hiyo iligharimu Tsh milioni 270!
Yule RC kule Iringa aliyetembea km 3000 plus na msafara wa Magari 25 atakuwa ametumia ngapi vile?
 
Lisu namuombea uzima, and i hope atarudi na siasa za kistaarabu, names like rubbish report, ma ccm, juma pondamali etc were provocative, he should abstain from using them. Ain't healthy.
This is a very big conspirancy, but i totally doubt magufuli had anything to do with it, wauwaji wa serikali wasingemkosa, ila nahisi kuna extremists wa hatari sana ndani ya serikali, and maybe they are the ones responsible, or just another killers with other motives of dividing and conquering them.
Tuwe macho sana wazee.
Peace
Wamekusikia subiri post mpya za udisii....
 
Huyo Sosopi ukimuuliza Maswali kuhusu kilichomo kwenye hiyo sera Hana anachokijua

Wamemtafuta Mchaga mmoja Mjanja Mjanja pale Mzumbe campus ya Dsm ( namhifadhi Kwa jina ) akapewa kandarasi ya kutengeneza hiyo sera then akawaandalia executive summary ya hiyo sera ndio wakaenda nayo kwenye walichokiita Uzinduzi
Kwa nini asijue kilichomo? Kilichomo hakisomeki au Sosopi hajui kusoma?
 
Back
Top Bottom