Tunda Nation

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
8,502
15,357
Huyu mdada (mtoto) abajiita Tunda Nation ninemkuta kule face book anauza simu kwa bei ya chini sana. Kwa mfano
1. Galaxy s6 ni 300000
2. Galaxy j7 prime 350000
3. Galaxy s7 kwa 250000
Jamani kwa hii brand hizi bei zinalingana na thamani ya cm?
 
matapeli bongo wengi, hapo jiandae kupewa namba ya simu ya nje ya nchi yenye whatsapp, vitambulisho feki, kusema yupo nje ya dar, ana shida etc hukutani naye ng'o.
 
Huyu mdada (mtoto) abajiita Tunda Nation ninemkuta kule face book anauza simu kwa bei ya chini sana. Kwa mfano
1. Galaxy s6 ni 300000
2. Galaxy j7 prime 350000
3. Galaxy s7 kwa 250000
Jamani kwa hii brand hizi bei zinalingana na thamani ya cm?
Yani s7 ni rahisi kuliko s6??
 
Hizo figures sijazielewa. Ni macho yangu yana matege au???
Umemkuta fb au ni wewe umetoka fb umekuja jf???
Huku hakuna mazuzu,great thinkers. But keep it up pengine utawapata Maana kwenye mamba kenge Nao wamo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom