Tujikomboe Finance
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 212
- 81
Kasokela au ikatepela
Ni miongoni mwa matunda yenye faida sana kwa afya. Je linaitwaje kikwenu? Kwa kimombo linaitwa Avocado (wakiwa wamekopa toka Kihispania)
![]()
.......Kuna sehemu nilikuta hili tunda linaitwa takapera, ila kiswahili nadhani parachichi.
Mzee Mwanakijiji hii picha unamaanisha tunda kweli au!!
Eivakedo!Ekivakedo
Ni miongoni mwa matunda yenye faida sana kwa afya. Je linaitwaje kikwenu? Kwa kimombo linaitwa Avocado (wakiwa wamekopa toka Kihispania)
EmbemafudaNi miongoni mwa matunda yenye faida sana kwa afya. Je linaitwaje kikwenu? Kwa kimombo linaitwa Avocado (wakiwa wamekopa toka Kihispania)