Tunda Hili Linaitwaje Kikwenu? Je unakula au...

Tunda Hili Linaitwaje Kikwenu? Je unakula au...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,252
Reaction score
44,586
Ni miongoni mwa matunda yenye faida sana kwa afya. Je linaitwaje kikwenu? Kwa kimombo linaitwa Avocado (wakiwa wamekopa toka Kihispania)

1186077_10151704196711156_599521966_n.jpg
 
Mzee Mwanakijiji bwana,si ungeuliza kila mtu kabila lake tukakuelewa?Unataka kujua makabila yetu indirect,hatudanganyiki!!Sisi kikwetu linaitwa "Parachihi"
Teteheeee
 
Last edited by a moderator:
Kwetu hakuna matunda ya hivi, kwa hiyo siku likionekana ni kuliita avocado au parachichi.
 
.
abokado - 아보카도


N.B: "abokado" haijakosewa ipo sawa
 
.......Kuna sehemu nilikuta hili tunda linaitwa takapera, ila kiswahili nadhani parachichi.
Mzee Mwanakijiji hii picha unamaanisha tunda kweli au!!

We mtoto weweee.... yaani mawazo yako hayachelewi... tunda hili ndio namaanisha. Kwani linafanana na tunda jingine?
 
Back
Top Bottom