Na Lushoto....zawadi na kombe na cash unabeba wewe
Kiswahili chake tafadhali
Duu hapo si Irente view point? Almaarufu kwa Nkapa
Duu hapo si Irente view point? Almaarufu kwa Nkapa
....Mtani kwenu kuzuri sana Swiss Farm cottage Mnatisha !!!
![]()
Earthmover umenikumbusha mbali sana huko ndio kwetu nimekulia huko....
.....nimekosa LIKE pokea LAKI
Earthmover umenikumbusha mbali sana huko ndio kwetu nimekulia huko
.....No No No weee botany na Geology imelala hapa .....
hiyo kitu inaitwa Eriobotrya japonica ....chaga Mtangawizi ,shitunda, Luguru msambwawa kizungu...Sambaa msambia
![]()
Uapaka nitida ni hii hapa chini...in tanzania found in geita iringa njombe ruvuma and mbeya
![]()
cc Preta Kaunga
Kitu cha Moshi hicho.
Mbona yapo km makende
Kiukweli kabisa yanaitwa Shitunda. Matam kupita maelezo haswa yakiiva hivyo. Utadhani Kilombero sugar imehamia humo ndani. Dah! Mate yamenitoka. mshana jr acha kuwatamanisha watu kihivyo