Nashangaa sana hili tunda kuwa na majina ya kienyeji tu.......nimeyala sana na yapo mengi sana kwetu......ila ndio tunayaita helimu kama hivyo........
ma bwana shamba tupeni hata scientific name........tugugo.....
Mastafeli
Eryobotrya japinicum
nimejaribu kuwekapicha ya stafeli imegoma. sorry for that
Uapaca nitida
Scientific name; Lekimelia simplotasisNashangaa sana hili tunda kuwa na majina ya kienyeji tu.......nimeyala sana na yapo mengi sana kwetu......ila ndio tunayaita helimu kama hivyo........
ma bwana shamba tupeni hata scientific name........tugugo.....
.....No No No weee botany na Geology imelala hapa .....
hiyo kitu inaitwa Eriobotrya japonica ....chaga Mtangawizi ,shitunda, Luguru msambwawa kizungu...Sambaa msambia
![]()
Uapaka nitida ni hii hapa chini...in tanzania found in geita iringa njombe ruvuma and mbeya
![]()
cc Preta Kaunga