Tunda gani hili?

Tunda gani hili?

Yeah ni mazaituni nayapenda sana hayo matunda ndani malaini yanaunga kama kiazi kilichochemshwa na yana unga. Mbele yake iko ndani kubwa hivi ya brown. Huku Dar nayapataga soko la wahindi mitaa ya kisutu
 
Jina lake kwa kiswahili ni shida, kuna jamaa kaniambia yanaitwa " Ngomira" kimachame
 
Yeah ni mazaituni nayapenda sana hayo matunda ndani malaini yanaunga kama kiazi kilichochemshwa na yana unga. Mbele yake iko ndani kubwa hivi ya brown. Huku Dar nayapataga soko la wahindi mitaa ya kisutu

Hapana Kasinde umeyafananisha
 
Last edited by a moderator:
mshana jr, nipo na wenyeji bhana, yanapatikana, marangu, machame na maeneo mengine,miti hupandwa mpakani

Ni sawa kwakuwa hupatikana milimani sehemu zenye baridi, ni magwadu kiasi na ndani yana kokwa moja, hayana nyama nyingi kivile
 
Last edited by a moderator:
Yeah ni mazaituni nayapenda sana hayo matunda ndani malaini yanaunga kama kiazi kilichochemshwa na yana unga. Mbele yake iko ndani kubwa hivi ya brown. Huku Dar nayapataga soko la wahindi mitaa ya kisutu

Haya siyo mazaituni ijapokuwa yamefanana rangi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom