Tunda gani hili?

Tunda gani hili?

Nashangaa sana hili tunda kuwa na majina ya kienyeji tu.......nimeyala sana na yapo mengi sana kwetu......ila ndio tunayaita helimu kama hivyo........

ma bwana shamba tupeni hata scientific name........tugugo.....
 
Yeah ni mazaituni nayapenda sana hayo matunda ndani malaini yanaunga kama kiazi kilichochemshwa na yana unga. Mbele yake iko ndani kubwa hivi ya brown. Huku Dar nayapataga soko la wahindi mitaa ya kisutu

Hayo maelezo kwenye bluu hujaombwa sawa Kasinde? 😀😀
 
Last edited by a moderator:
Yapo mengi sana huko Rombo. Umenikumbusha kitambo hicho tulikuwa tunachuma majani yake tunayatengeneza kiaina hivi halafu tunachomeka kijiti katikati basi ukikimbia linazunguka kwa kasi sana. Tuliita ndege. Ilikuwa mwanzoni mwa miaka ya 90
 
Haya tunaita matetekuwanga, unayachuma unayatwanga kisha unayala uzuuri.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom