doreen kimambo
Member
- Oct 27, 2015
- 49
- 3
Chagga marng elimu izoo
Mzaituni
Huku Lushoto yanaitwa Sambia.
Mapera rashi hayo. Ni matamu sana lakini ukiyala sana yanaleta kiu
Sambia. Tamu sana. Tatizo hazitaki usumbufu wala joto. Ukitoka nazo Lushoto ukifia Dar zishabadilika rangi na ladha. Hata sokoni zisiponunuliwa muuzaji anazitelekeza anaondoa zake, maana kesho zinakuwa habari nyingine. Lushotooooo da nimemis oxygen halisi mie loh!
Kiukweli kabisa yanaitwa Shitunda. Matam kupita maelezo haswa yakiiva hivyo. Utadhani Kilombero sugar imehamia humo ndani. Dah! Mate yamenitoka. mshana jr acha kuwatamanisha watu kihivyo
Kitu cha Moshi hicho.
Kitu cha Moshi hicho.