Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,536
- 18,297
Huku ni homeKati ya huko na dar wapi ni home?
Pesa sio kila kitu, usikaririUngekuwa na kibunda usingekuwa bored.View attachment 3480931
Naunga mkono hoja , mbona mimi hapa nina 5000 ila nipo boredPesa sio kila kitu, usikariri
kwahio ni kweli huna kibunda si ndio?Pesa sio kila kitu, usikariri
Huku ni home
Hivi hayo mnawezaje kuyanywa?Niletee Urojo wa elfu 25 ukiwa unarudi, najua dakika 12 za atcl utakuwa DSM
Unafika nao ukiwa wamoto moto π
π―πGuys najaribu kupost uzi kwa mara ya kwanza kwenye JF mpya tena kwa VPN, yeey!
Okay nipo bored, njooni tupige story mbili tatu, nipo Unguja sijui kwanini nikiwa huku nakua bored kuliko nikiwa Dar,
Note: nakunywa red wine π·
Nimewahi kuyatumia hapo Forodhani nikayapenda kiasiHivi hayo mnawezaje kuyanywa?
Huo mchanganyo nilijaribu nikarudisha chenjiNimewahi kuyatumia hapo Forodhani nikayapenda kiasi
Japo kwasisi Wanaume hayana nguvu sana, unaweza kucheza chini ya kiwango iwapo una miadi π
Of course unaweza usiyapende iwapo utakuwa unatumia Kwa mara ya kwanzaHuo mchanganyo nilijaribu nikarudisha chenji