Tunaweza kupata viwanja kwenye Bahari ya Hindi

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,339
Reaction score
1,493
Habari Tanzania !

Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi au Uwekezaji pale au ninyi watu wa Dar es Salaam mnasemaje kwenye hilo?

Karibu.
 
Inawezekana. Ila huna viongozi wenye akili ya kuwaza mambo kama hayo. Fikiria tu hata usafiri wa boti na treni ndogo za kisasa kama daladala, haupo!
 
Habari Tanzania !

Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi au Uwekezaji pale au ninyi watu wa Dar es Salaam mnasemaje kwenye hilo?

Karibu.
Mbona hapo Chamanzi, kivule, mkuranga yote imejaa ardhi? Mnahangaika nini?
 
Habari Tanzania !

Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi au Uwekezaji pale au ninyi watu wa Dar es Salaam mnasemaje kwenye hilo?

Karibu.
Kondo vipo viwanja vingi sana bei ni milioni kumi hatua ishirini kwa ishirini.
 
Habari Tanzania !

Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi au Uwekezaji pale au ninyi watu wa Dar es Salaam mnasemaje kwenye hilo?

Karibu.
Umeandika kama ujinga ila kiukweli hilo jambo linawezekana.
Kitaalam linaitwa land reclamations (kafatilie).
Yani ni jambo linalofanyika kwa kukausha sehem ya bahari na kuitumia kwa matumizi mengine kama kilimo, bandari, ujenzi wa viwanda au nyumba n.k

Land reclamations imeshafanyika katika nchi nyingi duniani kama Netherlands, China, Singapore, Dubai n.k

Hilo jambo linafaida sababu unapata ardhi ya ziada ya kufanyia miradi mbalimbali ila pia linahasara sababu linavuruga mfumo wa bahari na matokeo yake ni kusababisha mafuriko makubwa, kuharibu ecolojia ya viumbe wa baharini, kuharibu mifumo ya uingizaji wa maji baharini n.k

Kwa sasa Tanzania hatuna sababu ya kufanya kitu kama hicho sababu tuna ardhi ya kutosha kufanya miradi, kilimo na ujenzi mbalimbali n.k
PIA land reclamation ni gharama kubwa sana.
 
Mapori kibaha, bunju na bagamoyo yameisha? Unajua drainage system ya kilw road imekaaje?
Mapori hayajaisha ila kibaha na bunju huko ni nje ya mji population ya kata ya mbagala tu huwezi kuifananisha na hizo wilaya za pwani

Drainage system ya kilwa road!!?? au unamaanisha drainage system ya temeke?
mitaro ya kilwa road na mandela road inapeleka maji baharini, sijui wewe unadoubt nini
 
Kilwa road ina mito imekatiza upande mmoja kwenda upande wa pili. Assumption iliyopo maeneo ya Veta huku chango'mbe na mtoni mtongani maji yanaflow kuingia kurasini baharini. Unvyofanya reclamation ya ardhi unadisturb ile flow ni aidha utegemee mafuriko Chang'ombe kipindi cha mvua kubwa mana maji yale yatarundikana/yataflow kidogo kidogo sana nje ya inavyotakiwa
 
Back
Top Bottom