dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,189
- 2,219
- Thread starter
-
- #941
Ukiwa unaelekea usalama ni mkono wa kushoto na ni mtaa wa pili kutoka kwenye lami.Mkuu mbweni ubungo upande upi? Wa polisi au upande wa kuelekea shuleni?
Nakushauri ungewaeleza watu pale mbweni kuna sehemu inaitwa ubungo kabsa na si wilaya ya ubungo....
By the way kwa sasa mbweni kiwanja tu si chini ya 50m
Unapajua Mbweni?M270 sidhani kama inalingana na hiyo nyumba
Pamoja sana mkuu
Hiyo sehemu ni very potential.Ukiwa unaelekea usalama ni mkono wa kushoto na ni mtaa wa pili kutoka kwenye lami.
Yeah kweli kabisa mkuu mengine nitayatolea ufafanuzi kwa kadri nitakavyoulizwa na wadau
Mkuu unataka kuwa baba mwenye gari??Ngoja kwanza ninunue gari mkuu
Kweli kabisa mkuuHiyo sehemu ni very potential.
Bei lazima icheze humo 200-300m...
All the best mkuu....
Gari italeta nyumba mkuuMkuu unataka kuwa baba mwenye gari??
Ukimaliza Kipori cha Usalama wa taifa paleeMbweni ubungo ndiyo wapi mkuu?
Mkuu mbweni ubungo upande upi? Wa polisi au upande wa kuelekea shuleni?
Nakushauri ungewaeleza watu pale mbweni kuna sehemu inaitwa ubungo kabsa na si wilaya ya ubungo....
By the way kwa sasa mbweni kiwanja tu si chini ya 50m
Mbweni imegawanyika mkuu, kuna wanayoishi matajiri inaitwa mbweni Jkt, kuna wanayoishi wa kipato cha kushuka kidogo matajiri inaitwa mbweni malindi ndio hiyo Ubungo, kuna ile ya wenyewe unafuu kidogo inaitwa mbwen mipigi, nyingine inaitwa mbweni teta hii haileweke ila kifupi kindi cha mvua inageuka njia ya boti na mitumbwi.Christian Bella kanunua huko milioni 50 kiwanja
π π π π β£οΈUnapajua Mbweni?
Unajua kiwanja pekee ni bei gani, lol
Ukiwa huna hela ni vema uwe mtazamaji tu.
π π π π π π π π β£οΈMkuu unataka kuwa baba mwenye gari??
Mkuu njoo nayo tukamtishe huwezi juaKuna mchongo nausikilizia mkuu soon nitakuja, 150M hachukui?
Umeona eeh mkuu! Yaani unaishi dar lakn kama uko moshi nk vileVegetation zilizopo humo ndani hadi raha
Karibu sana mkuu na asante sana kututia moyo.nimeyapenda mazingira hapo nje