Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba nzuri sana ya kisasa apartment zipo 2 kwenye fence apartment ya juu ndio inayopangishwa inavyumba v2 sebule jiko vyumba vyote master bei Tsh 500,000/= ya mwenzi na unaweza kulipa kuanzia miezi 3 na kuendelea

Mawasiliano 0756060183
 
Nyumba ya kisasa yenye
vyumba v3 chumba
kimoja master store
publick toilet
umeme maji
vyote vipo
Nyumba imeisha kabisa
Fenced makabati
ya jikon na vyumbani yapo
Nyumba mpya kabisa
uwanja 800 SQM
Bei Tsh 55m
inahati ipo

MAELEZO ZAIDI
0756060183

 
Hapo naona nyumba mbili.

Nyumba inayouzwa ni hiyo ndani ya fensi (na fremu zake) ama hii ya nje yenye vichaka?
 
VIWANJA VINAUZWA MBWENI KIEMBENI

Viwanja vimepimwa na kuna barabara nzuri,umeme,maji vyote vipo.
Tumekata viwanja vyenye ukubwa wa 500 SQM na kila SQM 1 Tsh 30,000.
Kiwanja kimoja Tsh 15m
Maongezi kidogo yapo
Mawasiliano zaidi 0756060183
 
Nyumba inauzwa IPO jijini Dodoma mtaa wa Meriwa ina vyumba 3 self Bei Tsh 120m
Maongezi zaidi wasiliana nami 0756060183
 

Attachments

  • 20220603_114150.jpg
    137.5 KB · Views: 28
  • 20220603_114137.jpg
    145 KB · Views: 27
  • 20220603_114006.jpg
    147.5 KB · Views: 25
  • 20220603_113941.jpg
    122.5 KB · Views: 27
  • 20220603_112952.jpg
    104.5 KB · Views: 28
  • 20220603_112958.jpg
    111.7 KB · Views: 25
Nyumba inauzwa IPO jijini Dodoma mtaa wa Meriwa ina vyumba 3 self Bei Tsh 120m
Maongezi zaidi wasiliana nami kwa:- 0756060183
 
πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€ Bei Imesababishwa Na Vita
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…