Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba imefsi lami ya Bahari beach na ina vyumba 5 na kati ya hivyo 3 ni self.
Ukubwa wa uwanja ni 2600 SQM

Panafaa kwa biashara,kujenga apartment, ukumbi wa sherehe nk

Bei 670m

Maongezi zaidi 0756060183

IMG_20200531_220207_935.jpg
IMG-20200531-WA0095.jpg
IMG-20200531-WA0094.jpg
 
Ebwana kiukweli hii nyumba siyo nzuri.

Edit: Hii siyo original post. Mleta uzi aliandika '...nyumba nzr' mimi nikaandika 'Ebwana kiukweli hii nyumba ni nzuri siyo nzr'

Naona kuna mtu kaja kuedit title kisha akanieditia na mimi. Moderators ni bora mngefuta comment yangu kabisa kuliko kupindisha nilichoandika.
 
Back
Top Bottom