Tupo njiani tunakuja na mana Wakuru tukitokea Nyamuswa.Mambo yenu ni mema sana.
View: https://youtu.be/LWrGHYaq65I?si=pmgAmKYORhEtu-EW
Za kumvalisha Bae ili nimpeleke kwa Maza nyumbani zipo ???
MashaAllah!🙏😊😊😊Sawa karibuni
View: https://youtu.be/LWrGHYaq65I?si=pmgAmKYORhEtu-EW
Za kumvalisha Bae ili nimpeleke kwa Maza nyumbani zipo ???
Haikuwa riziki yako Mzee mwenzangu, moja ya vitu ambavyo huwa havinipi pressure ni Mademu na hela 😃😃😃Hiii nyimbo inanikumbusha kipindi flan tulikua tunacompete kumpata mrembo flan kule kijijini, mshindani wangu alikua kanizidi kila kitu mwisho wa siku akapita nae😁I wish ingekua saivi