Ukiangalia Vitu Vinavyo Leak Kutoka Ndani ya Serikali ya Tanzania Tutaona Watanzania Tunatawaliwa na Watu Tofauti Nchini. Weakleak Imetoa Mafundisho Makubwa Kwamba Mabavu ya Mafisadi Hasa Wahindi, Rostam Aziz Pamoja na Wezi Katika Uongozi CCM Inatupa Picha Mbaya kwa Nchi ya Tanzania na Wananchi Wake. Mpaka Sasa Tunajua Kweli JK Aliiba Kura na Sio Kwamba Aliiba Peke Yake Ila Mafisadi Wengi Wanamlinda Ili Aendelee Kukaa Ikulu kwa Maslahi Yao. JK Hakusema Hata Mara Moja Atatetea Haki na Malengo ya Watanzania, CCM Itaendelea Kulinda na Kuhakikisha Wanabaki Madarakani Ili Mafisadi Wabaki na Utajili wa Wizi. Leo Hii Inadhirisha Jinsi Gani Wananchi Tunaumia Sio Kwa Sababu Hatuna Akili Ila Kundi Dogo Tanzania Limeamua Tuishi kwa Shida. Hilo Hilo Kundi Ndilo Linatuchagulia Wabunge na Kuajili Wanaotaka Wao. Tuangalie Swala la Kazi Nchini, Wananchi na Hasa Vijana Wapo Mitaani Sio kwa Sababu Hawakusoma Elimu Nzuri au Walifeli Sana Ila ni Kutowajua Hawa Mafisadi Ila Ukiwapigia Magoti Ukafanya Wanalotaka, Watakupa Kazi ya Kufagia Barazani Hata Kama Unadegree ya Engineering. Hivi Ndivyo Tutaijenga Tanzania Kwenda 21st Century. Leo Hii Huduma za Afya Mbovu na Shule za Unafuu Hazina Walimu Kabisa, Hawa Viongozi CCM Wao Watoto Wao na Familia Zao Wanakwenda Shule Nje ya Nchi, International Schools na Huduma za Afya UK na S. Africa. Tuelezeni Makada wa CCM Maafa Yapi Yametokana na Chadema? Mtueleze JK Alishinda na Kura Toka Kijiji Gani?
"Kuwepo kwa Mafisadi, Wizi wa Kura, Rushwa na Utendajaji Mbovu Serikalini Unatumaliza Sote Waislamu au Wakristo"
"Kuwepo kwa Mafisadi, Wizi wa Kura, Rushwa na Utendajaji Mbovu Serikalini Unatumaliza Sote Waislamu au Wakristo"