Tunatawaliwa na JK kwa Nguvu? au Mafisadi Wameuamua Utumwa Ni Jibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunatawaliwa na JK kwa Nguvu? au Mafisadi Wameuamua Utumwa Ni Jibu?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by niweze, Dec 23, 2010.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukiangalia Vitu Vinavyo Leak Kutoka Ndani ya Serikali ya Tanzania Tutaona Watanzania Tunatawaliwa na Watu Tofauti Nchini. Weakleak Imetoa Mafundisho Makubwa Kwamba Mabavu ya Mafisadi Hasa Wahindi, Rostam Aziz Pamoja na Wezi Katika Uongozi CCM Inatupa Picha Mbaya kwa Nchi ya Tanzania na Wananchi Wake. Mpaka Sasa Tunajua Kweli JK Aliiba Kura na Sio Kwamba Aliiba Peke Yake Ila Mafisadi Wengi Wanamlinda Ili Aendelee Kukaa Ikulu kwa Maslahi Yao. JK Hakusema Hata Mara Moja Atatetea Haki na Malengo ya Watanzania, CCM Itaendelea Kulinda na Kuhakikisha Wanabaki Madarakani Ili Mafisadi Wabaki na Utajili wa Wizi. Leo Hii Inadhirisha Jinsi Gani Wananchi Tunaumia Sio Kwa Sababu Hatuna Akili Ila Kundi Dogo Tanzania Limeamua Tuishi kwa Shida. Hilo Hilo Kundi Ndilo Linatuchagulia Wabunge na Kuajili Wanaotaka Wao. Tuangalie Swala la Kazi Nchini, Wananchi na Hasa Vijana Wapo Mitaani Sio kwa Sababu Hawakusoma Elimu Nzuri au Walifeli Sana Ila ni Kutowajua Hawa Mafisadi Ila Ukiwapigia Magoti Ukafanya Wanalotaka, Watakupa Kazi ya Kufagia Barazani Hata Kama Unadegree ya Engineering. Hivi Ndivyo Tutaijenga Tanzania Kwenda 21st Century. Leo Hii Huduma za Afya Mbovu na Shule za Unafuu Hazina Walimu Kabisa, Hawa Viongozi CCM Wao Watoto Wao na Familia Zao Wanakwenda Shule Nje ya Nchi, International Schools na Huduma za Afya UK na S. Africa. Tuelezeni Makada wa CCM Maafa Yapi Yametokana na Chadema? Mtueleze JK Alishinda na Kura Toka Kijiji Gani?

  "Kuwepo kwa Mafisadi, Wizi wa Kura, Rushwa na Utendajaji Mbovu Serikalini Unatumaliza Sote Waislamu au Wakristo"
   
 2. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Siku nyigine kwenye red weka Watanzania. Kuna watanzania ambao hawako ktk sehemu hizo mbili. Just a point of correction. Nothing else!
   
 3. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  thats why i like you.
   
 4. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  :tea:
   
 5. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ukiona hivyo ujue kuwa huyo ni mdini.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Of course tunatawaliwa kimabavu. Tazama kila mahali ni wapi wishes za watz zinakuwa granted and honored?? none.
   
 7. T

  Tata JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Asante sana YeshuaHaMelech. Hawa jamaa wanatutenga sana sisi waumini wa dini za kienyeji na tusio na dini kabisa. Lakini wanasahau kuwa kuna WAHINDU na wengineo ambao pia ni watanzania.
   
 8. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  There is only one way. Lets start finishing them one by one for the sake of our mother Tanzania. Fisadi na muaji hawana tofauti. They deserve to be killed period. Wakati wa kulalamika umekwisha.
   
 9. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  are you sure this is the best and only solution?
   
 10. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Tatizo hao walio kwenye poverty margins like Wakwere , Walindi , Wagogo sijui wapogoro etc hawajitambui .Hata ukiwafunga kamba shingoni unaburuta tu hadi bahari huku wanajichekea tuu na kuimba SSM SSM. shit
   
 11. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MIMI NIMEAMUA NI REPLACE HII ''Kuwepo kwa Mafisadi, Wizi wa Kura, Rushwa na Utendajaji Mbovu Serikalini Unatumaliza Sote Waislamu au Wakristo" KAMA ifuatavyo ''' Kuwepo kwa Mafisadi,walarushwa, Wizi wa Kura, Rushwa na Utendajaji Mbovu Serikalini Unatumaliza Sote ''WATANZANIA"
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwenye red ni kwamba elimu bado na wengi walichangua upinzani ccm wakachakachua.....lakini kwa mwendo huu mpaka 2015 utaona mabadiliko makubwa, ch msingi ni vyama vya upinzani wa fungue mashina huko....
   
 13. n

  nyantella JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  this is meant for Mpayukaji above


  kuua ni dhambi!! hata Saddam Hussein na matatizo yake hakustahili kunyongwa vile so do not preach mambo ya kuuana. maana japo unadhani uko clean, to somebody you are not! afterall sio wote wanafahamu maana ya ufisadi, kama una Corolla, mwenye bajaj akikuita fisad na asikupe nafasi ya kujitetea kwamba ulikopa bank na watoto wako wana suffer kwa ajili ya huo mkopo; vile vile mwenye baiskel ata muona mwenye bajaj fisad etc. tutauana burundi na ruanda zitakua cha mtoto! lets not use that language of mauji please!
   
Loading...