Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka
Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na iliyopo mahakamani. Hili haijawai kutokea maana ni forging.
Ata mwakilishi wa ubalozi wa Ujerumani amebaki mdomo wazi wa jinsi mahakama zetu zilivyo takataka.
Nadhani ni Mungu tu yupo na Lissu ndo aliwapiga upofu mawakili wa serikali hadi kuleta case documents ambazo haziendani.
Hili ni kete kubwa kabisa kwa Lissu, Kwa mshangao mkubwa mawakili wa serikali kina Katuga walibaki na mshangao na kujilaumu wasijue Cha kufanya.
Kwa Sheria zetu mtu anayefoji documents za mahakama atahukumiwa kifungo Cha miaka Saba.
Tunataka waliohusika na hii forgery wawajibishwe.
Mto wa Mbu
Tegeta-Dar es Salaam