Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,811
Unaweza kuta mpaka leo yupo anakula mshahara, jasho la walipa kodi
Huyo aliyejifanya mteuzi yupo wapi? Ameshaoza huko. Kama unampenda sana mfate chattleAlipoteuliwa kwani aliambiwa sababu kwanini aliteuliwa? Kama hakuambiwa alipoteuliwa hivyo hivyo haambiwi anapotumbuliwa!! You serve at the pleasure of the appointing authority!!! Nyie mnaotaka kuelezwa ni wakina nani mliyetumwa na Nape?
Unataka majibu wewe na Nani? Nape mwenyewe aliyetishiwa hahitaji majibu
Kwani Nape mwenyewe anasemaje kwasababu huyo mtu walikuwa naye F2F kwenye battle field na ni mchana kweupeView attachment 1797142
View attachment 1797165
Mnamo tarehe 23 mwaka 2017 Mbunge wa Mtama Ndugu Nape Nnauye alitishiwa bastola hadharani na mtu asiyejulikana....
Wewe una uhakika gan kama hamorapa hamjui ? Do not under rate other peopleKumuona mtu ambaye humjui, huwezi kutambua kama ni nani.
Mimi naweza kukuona wewe kitaa lakini sitaweza kukutambua kama wewe ni nani jambo ambalo nikiulizwa juu yako sitaweza kukuelezea/kutoa maelezo yenye kukutambulisha, nitaishia tu kusema ulikuwa mrefu/mfupi, ulivalia nguo(shati/fulana ya khaki, suruali/pensi nyeusi), mweupe/mweusi/maji ya kinds n.k...
Huyo aliyejifanya mteuzi yupo wapi? Ameshaoza huko. Kama unampenda sana mfate chattle
hutaki apewe majibu, wewe nani?.Unataka majibu wewe na Nani?
Kupingana na Mtoto Mpendwa wa aliyetwaliwa kilazima na Israeli ambaye ni Moron, Crook and Hellacious Paul Christian Makonda ( Daudi Albert Bashite )
Nimeipenda hiiNape ni mdogo kuliko nchi,
Ipo tofauti Kati ya chawa na TISS yule alikuwa ni chawaTISS walitumika vibaya sana kipindi hicho. Hawanaga tamaduni ya kutembea na siraha kila mahala, labda kama wapo kwenye mission flani yenye kujihami
Alisahau kuwa kuna maisha baada ya kutumika na Bashite,Huyo ni mtu asiyejulikana anaitwa Henry Kisanduku aka sniper ukiingia insta alikuwa mlinzi binafsi wa bashite.
Umemuona Harmorapa alivyokimbia wakati yeye hakuwa mhusika wakati mhusika anayetishiwa hajasogea hata hatua moja tena akiwa mtulivu?
Kama akili yako umemkabidhi mganga wa kienyeji utakumbukaje kwamba kesho ipoAlisahau kuwa kuna maisha baada ya kutumika na Bashite,
Tulishihudia zama za ajabu sana, ubabe wa kitoto kabisa! hayo aliyofanya yalikuwa enzi hizo kwenye disco totoKama akili yako umemkabidhi mganga wa kienyeji utakumbukaje kwamba kesho ipo