Tunataka majibu: Ni nani Aliyemtishia Nape Nnauye Bastola?

Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
7,037
2,000
Alipoteuliwa kwani aliambiwa sababu kwanini aliteuliwa? Kama hakuambiwa alipoteuliwa hivyo hivyo haambiwi anapotumbuliwa!! You serve at the pleasure of the appointing authority!!! Nyie mnaotaka kuelezwa ni wakina nani mliyetumwa na Nape?
Huyo aliyejifanya mteuzi yupo wapi? Ameshaoza huko. Kama unampenda sana mfate chattle
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
3,691
2,000
Kumuona mtu ambaye humjui, huwezi kutambua kama ni nani.

Mimi naweza kukuona wewe kitaa lakini sitaweza kukutambua kama wewe ni nani jambo ambalo nikiulizwa juu yako sitaweza kukuelezea/kutoa maelezo yenye kukutambulisha, nitaishia tu kusema ulikuwa mrefu/mfupi, ulivalia nguo(shati/fulana ya khaki, suruali/pensi nyeusi), mweupe/mweusi/maji ya kinds n.k...
Wewe una uhakika gan kama hamorapa hamjui ? Do not under rate other people
 

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,300
2,000
Huyo aliyejifanya mteuzi yupo wapi? Ameshaoza huko. Kama unampenda sana mfate chattle

Nape utahangaika sana hizo mbinu zako wenzio wameisha zisoma!! Kwanini hutumii akili kama wenzio? Taabu yako elimu yako ni ya kuunga unga huko India!!!

Tuliza bori, wacha kupiga mayowe waache watu waone wenyewe!
 

kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,200
2,000
Kama nape yupo kimya atakuwa ashamalizana nao.Huyo ni mtu asiyejulikana anaitwa Henry Kisanduku aka sniper ukiingia insta alikuwa mlinzi binafsi wa bashite.Ila kwa sasa ni SAwa na vifaranga yatima visivyoulinzi,sema tu hatuna utamaduni wa kulipa visasi.
 

Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
4,516
2,000
Hivi unataka wewe na nani? mbona aliyeng'olewa meno kule Mabwepande hujauliza au huyo sio raia mwema? Acha kuleta nchi ya fitina. Acha kazi iendelee
 

kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,200
2,000
Kipindi kile Mungu ametuacha yatima

1602725_Screenshot_20171005-170102.jpg


hqdefault.jpg


1717156_FB_IMG_1522174224301.jpg


DLXnj9GW4AARBnM.jpg


Screenshot_20210525_174103.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom