Tunataka majibu: Ni nani Aliyemtishia Nape Nnauye Bastola?

TISS walitumika vibaya sana kipindi hicho. Hawanaga tamaduni ya kutembea na siraha kila mahala, labda kama wapo kwenye mission flani yenye kujihami
Yes, lakini yule alikuwa kazini. Wakiwa kazini huwa wanakuwa nazo, ingawa huwa zinakuwa handed over ( ukimaliza shift yako unakabidhi kwa anayeingia )
 
Yes, lakini yule alikuwa kazini. Wakiwa kazini huwa wanakuwa nazo, ingawa huwa zinakuwa handed over ( ukimaliza shift yako unakabidhi kwa anayeingia )
Wapuuzi wachache sana, walikuwa wataka kufanya nchi kama yao.. Hapo na mambo ya kutishiana na vyuma kwa mtu ambae ni waziri sio kibaki ndio utaona order ilivyokuwa ya kishamba na walio tumwa wakawa wapuuzi
 
2. Pia tunataka kuelezwa, Je, kosa la Nape lilikuwa ni lipi kwenye hilo saga hadi akapelekea kupoteza kazi yake ya uwaziri?

Alipoteuliwa kwani aliambiwa sababu kwanini aliteuliwa? Kama hakuambiwa alipoteuliwa hivyo hivyo haambiwi anapotumbuliwa!! You serve at the pleasure of the appointing authority!!! Nyie mnaotaka kuelezwa ni wakina nani mliyetumwa na Nape?
 
Alipoteuliwa kwani aliambiwa sababu kwanini aliteuliwa? Kama hakuambiwa alipoteuliwa hivyo hivyo haambiwi anapotumbuliwa!! You serve at the pleasure of the appointing authority!!! Nyie mnaotaka kuelezwa ni wakina nani mliyetumwa na Nape?
sawa mkuu umeeleweka!!
 
Ukweli Jiwe alikuwa mwoga sana
Huku akijifanya mbabe
hakuwa na uwezo wa kujibu hoja when comes to one to one arguments alikuwa ni mtu dhaifu sana - ikifikia hatua hiyo kinachofuata ni yeye kuwaambia wasaidizi wake wakushughulike in / out thats it.
 
Kupingana na Mtoto Mpendwa wa aliyetwaliwa kilazima na Israeli ambaye ni Moron, Crook and Hellacious Paul Christian Makonda ( Daudi Albert Bashite )
The Son of the King...... Daudi Albert Bashite - the formal Superhero - aka attachable.
 
Hamo rapa
Nafikiri Hamorapa anaweza akakupa JIBU maana yeye ana USHAHIDI wa kuliona tukio kwa MACHO
Kumuona mtu ambaye humjui, huwezi kutambua kama ni nani.

Mimi naweza kukuona wewe kitaa lakini sitaweza kukutambua kama wewe ni nani jambo ambalo nikiulizwa juu yako sitaweza kukuelezea/kutoa maelezo yenye kukutambulisha, nitaishia tu kusema ulikuwa mrefu/mfupi, ulivalia nguo(shati/fulana ya khaki, suruali/pensi nyeusi), mweupe/mweusi/maji ya kinds n.k

Maelezo hayo hayataweza kumfanya mtu akutambue maana wapo wengi wenye sifa kama hizo. Sasa Hamorapa anaweza kutoa maelezo kama haya.

Maelezo yatakayomtambulisha mtu kama yule ni status yake kwa ujumla(jina lake, makazi yake, kazi yake, sehemu ya kazi n.k), watu wanaomjua wakiona hayo maelezo watasaidia kutujulisha na hatimaye kumbaini.
 
Wote hao ni familia moja... pengine walishakutana kisirisiri wakasameheana halafu siye tunahangaika bure tu...!!!
 
Back
Top Bottom