Tunataka kile usichokuwa nacho

Ni kweli kila mtu hutamani kile asichokuwa nacho na akishakuwa nacho atatamani kile kisichokuwepo.

Cha msingi ni kuridhika na kile ulichonacho as you cant have it all. Penda na thamini cha kwako.
"Longthroat is a thief of fulfillment". Ridhika na cha kwako, be busy count your own blessings. Unakuta umehangaika wee kutafuta kitu fulani, siku ukikipata unaanza kukichukulia for granted tena, unaanza kuvitafuta usivyokuwa navyo, thinking that ukikipata hicho usichokuwa nacho ndo maisha yako yatakuwa fulfilled, ukishakipata hiko kingine tena unaanza kukiona cha kawaida. At the end of the day unagundua, you had a lot but couldn't enjoy or kufeel kuwa fulfilled coz ulikuwa busy kutafuta usivyokuwa nayo. "When he was busy stretching his hands to catch the stars, he forgets the flower at his feet".
 

Nimekuelewa
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
hahaha acha hizo
Mimi niambie tu unataka kiasi gani kama hakipo kwenye uwezo wangu nakupa live upunguze tukikubaliana kifuatacho ITV na hapo inakuwa ndio mkataba nikijisikia tu nakustua mwendo ndio huo huo mambo ya sijui baby hunitakii usiku mwema hunitumii SMS oh sijui nini... Hayo ni mambo ya Mke na mume... Au we unasemaje
 
hapana hata wapenzi bwana
 
Hahaha ukipata ufafanuzi zaidi. Utanisimulia kidogo
Mdogo wangu ukimuuliza mtu yeyote(haina jinsia) unataka nini? Atakuambia nataka ABC, lakini akishafanikiwa kuvipata hivyo atataka kile asichokuwa nacho, na kwakuwa huwezi kuwa na vyote inabidi tu uridhike na kile ulichonacho. Na usipokuwa na moyo wa kuridhika na ulichonacho ndipo hapo taabu ya 'hajui akitakacho' inaanzia.

Kwahiyo hili suala la wanawake hawajui wanataka nini hata sisi huwa tunasema wanaume hawajui wanataka nini, maana atataka mwenye chura ila utamkuta anachepuka na flat screen, kwahiyo usitegemee kupata jibu la hilo swali.

Binadamu tunataka vyote,na kwakuwa hatuwezi kupata vyote ndipo taabu inapokuja.
 
Nimekuelewa sana Dada yangu. Hilo swali kila mtu ana jibu lake. Ndio maana watu kutwa wanahangaika maana hatujui nini hasa tunataka.

Unaweza ukachagua ila usiridhike ndio hapo linapokuja tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…