Tunatafuta ndugu zake, amepoteza kumbukumbu

Joined
Apr 15, 2025
Posts
91
Reaction score
176
TAASISI YA TIBA YA MIFUPA NA UBONGO MUHIMBILI (MOI)
Mgonjwa (pichani) alipokelewa Desemba 17, 2025 akiwa amepata majeraha kichwani, hivyo amepoteza kumbukumbu. Hivi sasa afya yake imetengemaa hivyo tunaomba ndugu, jamaa na marafiki wanaomfahamu wafike Ofisi ya Ustawi wa Jamii MOI chumba namba 113 kwa utambuzi.

Kwa taarifa zaidi
0734 062 125

+255 733 803 104
taasisiyamifupa_MOI
c1d719e6-37ad-47a5-aa3e-ed25deab7f2f.jpeg
 
TAASISI YA TIBA YA MIFUPA NA UBONGO MUHIMBILI (MOI)
Mgonjwa (pichani) alipokelewa Desemba 17, 2025 akiwa amepata majeraha kichwani, hivyo amepoteza kumbukumbu. Hivi sasa afya yake imetengemaa hivyo tunaomba ndugu, jamaa na marafiki wanaomfahamu wafike Ofisi ya Ustawi wa Jamii MOI chumba namba 113 kwa utambuzi.

Kwa taarifa zaidi
0734 062 125

+255 733 803 104
taasisiyamifupa_MOI
Ukute mwamba ni mmoja ya waliowahi kutekwa wakamuharibu mishipa ya kichwa ili asikumbuke chochote kisha akatelekezwa(ni mawazo yangu tu Sina maana kwamba ni kweli)
 
Tumieni fingerprints zake kupata taarifa zake kutoka mfumo NIDA
Hiyo ni akili kubwa mkuu.Umewaza kitu kikubwa sana.

Ume act kama CIA na FBI ya marekani walitumia mbinu za hivi kugundua Osama yuko wapi japo sio kutumia finger print bali kutumia vinasaba vya damu.

Walipitisha chanjo feki kwa watoto Pakistan eneo ambalo walihisi Osama atakuwa anaishi hapo kwa watoto wa Osama wakaenda nao kuchanjwa kama raia wengine.

Kumbe majibu ya damu zote walikuwa wanapeleka Marekani.Lahaula vinasaba vya watoto wake vika match na vya dada yake Osama aliyepataga ajali ya gari Marekani akafariki.
Wamarekani wakasema now we got him

Ndio wakaanza sasa kufanya mazoezi jinsi ya kumvamia na pia satellite maalum ilikuwa inatumika kuchunguza nyumba hiyo.
 
Aisee, hawa jamaa sio watu wa mchezo. Akili kubwa sana.
 
TAASISI YA TIBA YA MIFUPA NA UBONGO MUHIMBILI (MOI)
Mgonjwa (pichani) alipokelewa Desemba 17, 2025 akiwa amepata majeraha kichwani, hivyo amepoteza kumbukumbu. Hivi sasa afya yake imetengemaa hivyo tunaomba ndugu, jamaa na marafiki wanaomfahamu wafike Ofisi ya Ustawi wa Jamii MOI chumba namba 113 kwa utambuzi.

Kwa taarifa zaidi
0734 062 125

+255 733 803 104
taasisiyamifupa_MOI
Dah!!bado kijana mdogo sana... Mungu amjalie akae sawa kiakili inshallah......
 
Back
Top Bottom