Halafu wabongo tunapenda sana kulalamikia matokeo, hatulalamikii elimu yenyewe. Inakuwaje wanaojiunga na vyuo vya ualimu ni wale waliopata marks za karibu na kufeli? Kwahiyo walimu ni wanafunzi wa zamani waliofeli. Wala hatulioni hilo, badala yake tunataka wanafunzi wa sasa wafaulu tu! Anyway, hakuna shida sana kwakuwa sikuhizi tuna utaratibu wa kustandardize.