Tunapopangiana kula

Ha ha haaa Mount Kibo
si umeniacha hoi na kicheko full daaah,
Hata mie sikuweza kuhimili japo ni jinsia tofauti ya weye;
Niliona ni namna mojawapo wa kunyimwa haki yangu
......... so why not isikuwepo kabisa ikajulikana moja kwa moja.

 
Last edited by a moderator:
hapana bana.......kuna kile cha asubuhi kwani kuna kujiandaaaa lakin huwa kinanoga sana
umeona hata wao wana emergence siku ukiwa na ham...sa ratiba ya nini tena hapo

Cha asubuhi?

Sasa si unaenda kazini ukiwa umechoka?

Kuna wengine wanazisimamia kama baiskeli ......LOL!
 
tupange ratiba kwa ajili ya nini eiyer.........
mi sitaki kabisaaaaaaaa

kule we ndo umekususa kabisaaaa....mie naendaga sana

Sasa si ukijua leo nakwenda kuliwa unakuwa na mzuka.....LOL!

Sasa kama unakujaga kule mbona huwa hunistui?
 
Ni kawaida sana, coz unakuwa hamfeel mwenzako, unadhani muzaka wa kuduu kila siku utatoka wapi, hapo sasa ndo ratiba zinapoaanzaga

Hujui kuwa kuna wengine ndivyo walivyo?
Kwa hao je?
 
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
We hujui mke wa mtu sumu?A
u una panya kwako......LOL!

Je kitawa nacho wakikumbuka?
 
Kwani mwanamke hawezi kuwa sababu?
Kama ulivyotoa huo mfano hapo hebu ubadilishe tu utauona ukweli mkubwa
Lakini naanza kuuona ukweli mwingine mkubwa sana kuwa tatizo hili lina chanzo kingine tofauti na wanandoa wenyewe!

Inawezekana akawa hana nyumba ndogo
Umelifikiria hili?

Ila wanaume wake zenu wanawastahi. Mitala hamuiwezi endapo mtawajibika kwa wake zenu ipasavyo bwana.

Nalogoff

Unautani na Asprin wewe?
 
Last edited by a moderator:
Siku hizi lawama tunatupiwa sisi wanaume eti tunashindwa kazi wakati kuna mambo mengi sana yanayoweza kusababisha hili!
 
Ha ha haaa Mount Kibo
si umeniacha hoi na kicheko full daaah,
Hata mie sikuweza kuhimili japo ni jinsia tofauti ya weye;
Niliona ni namna mojawapo wa kunyimwa haki yangu
......... so why not isikuwepo kabisa ikajulikana moja kwa moja.

Tafadhali naomba usinitaje wala kunihusisha hapo pa kimaande(Nyekundu) kwani madhara ya ke ni makubwa ..eti isiwepo kha! ..warumu gani kakudanganya isipokuwepo wewe utaishije au ndo unahalalisha ujenzi wa nyumba ya kando!Ni bora iwepo hata kama ni ile tia maji tia maji au kwa maneno ingine heri nusu shari kuliko shari kamili...anything is better than nothin at all.
 
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
We hujui mke wa mtu sumu?A
u una panya kwako......LOL!

Je kitawa nacho wakikumbuka?
Tehe tehee Eiyer kama Nke wa Ntu sumu bathi mume wa Ntu mathiwa ..kama kanNyima Ntu kitu alichonacho mi nifanyeje zaidi ya KUNchapa?Leo naona siku inaenda vizuri huenda Serengeti zikaenda vizuri jioni ya leo!
 
Heaven on earth naomba uniambie, 'cha asubuhi' umekijulia wapi, ina maana unalala na mwanaume hadi asubuhi SIKU HIZI?:lying::lying:
 
Last edited by a moderator:
Tehe tehee Eiyer kama Nke wa Ntu sumu bathi mume wa Ntu mathiwa ..kama kanNyima Ntu kitu alichonacho mi nifanyeje zaidi ya KUNchapa?Leo naona siku inaenda vizuri huenda Serengeti zikaenda vizuri jioni ya leo!

Ha,ha,ha,ha,haaaaaaa!!!!!!!!
Sumu zingine maziwa hayafui dafu...!!!!!!!
 
Hiyo inapoteza msisimko na mara nyngi huwa kuna tatizo la maelewano kwa wawili yanakuwa sio mazuri. Labda kama kuna mmoja ana ugonjwa au tatizo ambalo mwenzi wake apaswa kulivumilia na kumsaidia mwenzake.

Hivi haiwezekani kuwe hakuna tatizo?
 
Eiyer jiulize kama wanapanga ratiba watoto watawapataje? na kwa mfano siku za kupata ujauzito ndo unakuta ratiba hairuhusu kujamiiana

huu ni upuuzi wa hali ya juu.......kuna tatizo hapo sio bure
DEMBA hebu come zis way nikunong'oneze jambo

Wakati wa kutafuta mtoto kunakuwa na special counter atack .......LOL!
 
Kumbe nimejitungia mtihani mwenyewe!
Unataka nijibu kuwa kuitekeleza hiyo ratiba hata kama nimechoka ni jukumu langu kama mke?
Haya naomba utafute marking scheme uje usahihishe

Kuna kitu ukikitazama vyema utakiona kwenye majibu yako
Ni kitu chema tu cha kujifunza!
 
aaah aha ha ha ha si sawa jaribu ujionee mwenyewe inakuwa kama ile siku ya kwanza kuingiza nani yako kwa mwanamke.

Sijawahi hata kuiingiza
Hebu niambie inakuagaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…