Tunapomlilia Dr Mengi tusisahau kuwa tuna tajiri mwingine mwenye moyo wa kutoa mzee Rugemalira wa IPTL

Bwashee mbona unateseka sana?

Bush lawyer nielimishe basi....... hahahaa!
 
Hasipoandika posho haiingii mkuu ndio Mana wanajaza utumbo humu no Kama means of verification
 
Hii ni katika kukumbushana tu.
Rip Dr Mengi
Be blessed mzee Rugemalira!
Asante kutukumbushia
Rugemalira tulimuombea na kumfungia Novena lakini haikusaidia kitu kwa sababu...
Pia ana nguvu.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…