hata wao wanajua na ndiyo ukweli tangu cuf ianzishwe haijawahi pata mafanikio makubwa kama mwaka huu.
ndani na nje ya cuf wengi waliamini cuf inakufa na cdm inaimalika lakini ukweli umejulikana
cdm waliwekeza sana kuliko chama chochote cha upinzani hata zaid ya ccm lakini mavuno yao hayakuwa mazuri japo wamepata na kupoteza majimbo yao na watu wao mhimu
ukawa hautakufa kwani ulikuwa ufe kwa sababu za cuf but sasa unaimalika kwa sababu cuf wamejua umhimu wa kuungana... hongereni cuf majimbo mlioachiwa mmeyatendea haki