Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 933
- 2,754
Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu..
Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold..
SAMIA WHAT IS THIS
Britanicca
Mengi kwenye kitabu chake alisema watu wa nchi za nje wanapendelewa na serikali kwenye fursa za uwekezaji kuliko sisi wabongo MONEY IS NOT EVERYTHINGKWAKWELI HILI JAMBO HUWA NAJIULIZA SANA..HIVI SERIKALI IMESHINDWAJE KUWAPA WAZAWA HAYA MACHIMBO? HAWA WAGENI KAZI YAO INGEKUWA KUNUNUA TU NA SOKO NA BEI INGEKUWA JUU.
Haijakaa sawa kuna haja ya kupitia tena ili tuwape wazawa kipaumbele.Mengi kwenye kitabu chake alisema watu wa nchi za nje wanapendelewa na serikali kwenye fursa za uwekezaji kuliko sisi wabongo MONEY IS NOT EVERYTHING
Waziri wa Madini, Antony Mavunde amewataka wachimbaji wadogo wa madini kuacha tabia ya kuruhusu raia wa kigeni, hususan Wachina, kuingia na kufanya shughuli za uchimbaji kinyume na sheria, kisha kuilaumu Serikali.Watanganyika tunalalamika sana,hakuna nchi nyepesi kupata leseni za uchimbaji na utafiti wa madini kama Tanzania,wakati sisi tunaendelea kulalamika na kupambana na Mama Samia wenzetu wachina wanasomba kila kitu kwa sababu hawana muda na siasa,
Mimi nipo Katavi na kama wewe unahitaji kuwekeza huku tuwasiliane ila kulalamika haitotusaidia ndugu zangu tuchukue hatua,sekta ya madini inaweza kutubadili maisha yetu kwa haraka sana ila wengi wanaogopa licha ua wizara kuhamasisha sana kwenye mitandao na kampeni nyingi tu,
Wachina wapo kweli ila wana faida na hasara kubwa ila bado tuna nafasi tukiacha kulalamika.