Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,549
Hivi unaelewa maana ya taarifa za kuandaliwa? Alichozungumza ni hicho alichambiwa kuhusu kesi. I'm sure 100% alitegemea swali kama hilo toka BBCKama hakuwa na details kwanini akaenda BBC kwenye ile interview na kusema wana ushahidi wa kutosha kumfunga Mbowe?
Au baada ya kuona amepotoshwa akapotea ndio akaamua kumzawadia yule jaji cheo ili amsaidie kufukia mashimo yake aliyotengeneza kwenye ile interview?
Kama hilo hapo juu sio kweli, anajiamini kwa alichosema kwenye ile interview na ana waamini wasaidizi wake waliomwambia wana ushahidi wa kumfunga Mbowe, kwanini asingesubiri yule jaji amalize kusikiliza ile kesi ndio ampe zawadi ya cheo?
Naona hapa Rais alikubali amepotoshwa na akapotea, ndio maana akawahi kujitengenezea njia kwa kutoa cheo ili asiaibike siku ya hukumu, lakini bado haitoshi, aibu hii itamuandama tu, kwa ushahidi ule unaotolewa na mashahidi wa jamhuri unaonesha dhahiri hakuna kesi pale, wanalazimisha tu.
Alichozungumza ndicho alichoambiwa na waliomwandalia taarifaHivi unaelewa maana ya taarifa za kuandaliwa? Alichozungumza ni hicho alichambiwa kuhusu kesi. I'm sure 100% alitegemea swali kama hilo toka BBC
Angekataaje kujibu swali wakati alikua na majibu hata kama si ya kuridhisha?Rais hapaswi kua mropokaji. Alishindwa nini kukataa kujibu swali hilo na kusema tuu liko mahakani na tuiachie mahakama?.
Yeye ni zao la mfumo onevuu na kandamizii, anajua kabisaa jinsi chama chake na serikali vinavyo onea watu, alishindwa nini kua na subra ili ajue ukweli wote ndio atoe kauli?.
Manafiki.
Naona nawe unakubali alipotoshwa akapotoka, sasa kwanini Rais asijiridhishe na majibu anayopewa na wasaidizi wake kwanza kabla hajaenda kuongea public halafu baadae yanamletea shida?Hivi unaelewa maana ya taarifa za kuandaliwa? Alichozungumza ni hicho alichambiwa kuhusu kesi. I'm sure 100% alitegemea swali kama hilo toka BBC
Ww subiri ,hukumu itoke .Unapoanza kutoa hukumu ,wakati kesi bado,unatupeka kwenye hisia zako.Acha kesi ilindime ndugu.Yaani sikusoma hadi mwisho kwa hasira, iweje umtoe jwa kusema eti mama hawezi kuingilia kwani ni mhimili mwingine?
Hiyo kesi sio ya Mahakama bali ni ya serikali (DPP) na huyo yuko katika mamlaka ya Executive yaani chini ya Rais hivyo alikuwa na uwezo wa kuagiza aondoe mashtaka hayo ya kubumba badala ya kumuacha Mbowe aendelee kutaabika eti mahakama itauona ukweli!
Hawa ndio kesho mambo yakiwageukia wao wanabaki kuomba huruma.
Au anadhani yeye atahutumiwa kwa jinsia yake?
Huko ndioo kuropoka kwenyewe, majibu yaliyo ridhisha.Angekataaje kujibu swali wakati alikua na majibu hata kama si ya kuridhisha?