Tunaotarajia kwenda kufanya interview ya TRA kwa kada za customs officer II na tax management officer II tukutane apa tupeane Tips za writen interview

Shombe hivi upo kweli dah
Nipo mkuu, sema Utumishi mwaka huu naona wamekuwa overwhelmed.. yaan watu waliomba Ajira Hadi kuitwa Interview ni zaidi ya miezi mi4 😁😁😁.
Sasa Kuna watu kipindi kile Cha kuomba walishaanza kuomba notes na kupiga msuli Sasa hv wanajikuta wajinga wao😏😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…