RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,399
- 134,980
MH urefu wake nini? Zote ni 7 characters. UK wanatumia hizo. MfanoNdefu sana. Hazitaenea kwenye plates.
LN03 DQP hapo LN ni London gari iliposajiliwa,03 ni mwaka gari iliotengenezwa.
Angalia T295 DVA ina characters ngapi?