Tunaonewa sana

Tunaonewa sana

Nashangaa Kuna watu Wana mjibu Kwa mazoea hii hoja nzito na Ina fikirisha haswaa .. natamani huu mjadala uchangamke watu wajibu Kwa hoja nzito nzito tupate Cha kujifunza
Tatizo Kuna Watu tayari akili zao ziko fixed na maandiko, wamemeza kile kile TU Cha kwenye biblia.

Yaan wako Kama mang'ombe anayosema mtoa mada, binadamu tumepewa maarifa tuyatumie na sio kua Kama mang'ombe
 
Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.

Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga...
Haki ya nani bangi nyinyi dah! Nimecheka sana.
 
Kuna ulazima wa kufikiria nje ya box, jamaa thread yake ipo katika kujenga hoja fikirishi na utakapo fikiria katika mlengo chanya kuna kikubwa utakachokipata na kitakufunulia mengi sana.
Kweli
 
Kaa ukijua Binadamu hafi, mwili ndio unakufa, yaani wewe upo tu lakini kwa sababu mwili unachoka ndio una-cease kufanya kazi basi tunazika laiti kama tungekuwa na spea za kubadilisha basi mwili na binadamu kwa ujumla angeweza kuishi moja kwa moja.

Mfano angalia magari, gari linaweza kudumu muda mrefu endapo spea zake zikiwa zinapatikana, kiwanda kiki-cease kutengeneza spea na gari utauza kama scraper, Kwa ujumla tu mauti yapo kwenye mwili tu yaani hautaonekana physically lakn bado utaendelea kuishi bila kuonekana, maana ukitoa mwili hakuna kitakacho kufa so, Binadamu hafi ila mwili tu ndio unachoka, kama nyumba inavyochoka na kuanguka.
 
Tatizo Kuna Watu tayari akili zao ziko fixed na maandiko, wamemeza kile kile TU Cha kwenye biblia.

Yaan wako Kama mang'ombe anayosema mtoa mada, binadamu tumepewa maarifa tuyatumie na sio kua Kama mang'ombe
Kuna watu wame mezeshwa ma fiction story na hawataki kuamini kuwa hizo ni fiction kazi sana
 
Wacha nikarudie haka kacomenti kangu pia;

Poa ngoja tuamue kutembea na hiyo nadharia yako bila kupinga;

Tuongeze nadharia ya mfano kwamba labda mchicha ukiula wewe binadamu, mchicha unakuwa sehemu ya binadamu na unafaidi ile experience ya kuwa binadamu. Utaishi nyumba nzuri utaendesha magari etc
Mchicha hautapenda kuliwa na mbuzi kwa sababu ona experience ya kuwa mbuzi sio tamu kivile, analala sehemu chafu, anapigwa jua,hathaminiwi etc. Kwa hiyo bora mchicha uliwe na binadamu na sio mbuzi. Uuexperience ubinadamu na sio umbuzi.

Kwani we unajuaje kwa nini ukila mchicha unaona zaidi? Ni kwa sababu mchicha ukiingia mwilini mwingi unajaa kwenye macho kwanza baadae ndo uende na kwingine. Kama tu ambavyo mshamba mwingine yeyote[toka shamba] <'pun intended'😂🤣🤣🤣🤣> akifika mjini au sebuleni ni macho ndo yanakuwa active zaidi! Kwa hiyo ndugu hata kama mchicha kiukweli ukawa hauna uwezo huo[kiuelewa/akili].

Tambua kwamba kwa binadamu ndivyo ilivyo, tumeumbwa na uelewa na utambuzi kujitambua na kutambua. Ukiliwa na Mungu utauexperience umungu[uhai],upendo, amani, uzuri, ukweli vyote utafaidi LAKINI ukiliwa na shetani utauexperience ushetani[kifo], chuki, taabu, ubaya machukizo.

Chagua sasa kuja kuliwa na Mungu na utafaidi milele pale utambuzi/consciousness wako utakuwa makaoni pa Mwenyezi Mungu.
Watanzania tumepiga hatua kwenye fikra tuduizi!
 
Yaani ulikuwa unakuja na hoja jengefu sana ila ulipofika tu hapa nikakata tamaa na somo lako....

"Na siku binadamu akijua kwanini yupo hapa duniani ndiyo utakuwa mwisho wake wa kumwabudu Mungu na ataingia mgogoro mkubwa sana na Mungu uliojaa visasa....:"

Huyu unayemuita Mungu "Allah" ametuleta hapa dunianj kwa lengo moja tu ... kumuabudu yeye pekee..

Tukimuabudu Allah basi kuna malipo kesho tutakapokufa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwani asipo abudiwa anapungukiwa nini
 
Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.

Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga.

Yaani ni hivi binadamu hata afanye nini hatoweza kujua dhamira na dhima ya yeye kufugwa hapa duniani.

Kama ilivyo kwa kuku na ng'ombe, hata wafanye nini hawatoweza kamwe kujua dhamira na dhima ya wao kufugwa na binadamu.

Ebu fikiria Kuku, ng'ombe na mbuzi wanatuchukuliaje sisi binadamu?

Wanatuona sisi ni msaada mkubwa sana kwao, kwani tunawapa msaada mkubwa sana. Ikiwepo sehemu ya kulala, tunawapa chakula, tunawatibu magonjwa. Wanaamini bila ya sisi wao si lolote wala chochote. Kwani tunawaepusha na majanga mbalimbali ikiwepo kuliwa na paka, mbwa n.k.

Kama wewe unavyoamini Mungu ni msaada mkubwa sana kwako na yeye ndiye mwanzo na mwisho kwako. Kwasababu tu anakupa uhai, anakupa riziki, anakuponya magonjwa ukiumwa na anakuepusha na majanga mbalimbali.

Kama ilivyofungwa akili ya kuku na ng'ombe juu ya dhamira kuu ya wao kufugwa na binadamu hivyo ndivyo ilivyofungwa akili ya binadamu kujua dhima kuu ya kwanini wapo hapa duniani.

Na siku binadamu akijua kwanini yupo hapa duniani ndiyo utakuwa mwisho wake wa kumwabudu Mungu na ataingia mgogoro mkubwa sana na Mungu uliojaa visasa . Ebu fikilia siku mifugo yako ikipewa utambuzi kwamba umeifuga ili uichinje tu au uiuze. Najua unajua nini kitakachotokea.

Wazee nawaambia ukweli sisi ni mifugo tu tunaoliwa na Mungu au na Shetani. Dhima kuu ya sisi kuwepo hapa duniani ni kuwa kitoweo cha Mungu au Shetani. Ndiyo maana tupo tupo tu bila mwelekeo wowote. Achana na story za kwenye biblia ni saundi tupu.

Kubisha ruksa kwani hata kuku anaweza akabisha huwa haliwi na binadamu.

Tunaonewa sana.
Lkn kiongozi km kweli sisi ni mifugo ya Mungu mbona sijawahi kuona Mungu akimchinja binadamu Ili amfanye kitoweo? Km ilivyo kwa kuku, ng'ombe n.k? Au unamaanisha Mungu huwa anakula mizoga? Piga magoti uombe msamaha kwa Mungu. Mungu amekupa ufahamu kuliko wanyama wote pia amekuumba kwa mfano wake. Binadamu amepewa mamlaka ya kuvitawala viumbe vote.
 
Kwa nilivyo muelewa jamaa kwamba roho yako ndo msosi mkuu.
 
Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.

Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga.

Yaani ni hivi binadamu hata afanye nini hatoweza kujua dhamira na dhima ya yeye kufugwa hapa duniani.

Kama ilivyo kwa kuku na ng'ombe, hata wafanye nini hawatoweza kamwe kujua dhamira na dhima ya wao kufugwa na binadamu.

Ebu fikiria Kuku, ng'ombe na mbuzi wanatuchukuliaje sisi binadamu?

Wanatuona sisi ni msaada mkubwa sana kwao, kwani tunawapa msaada mkubwa sana. Ikiwepo sehemu ya kulala, tunawapa chakula, tunawatibu magonjwa. Wanaamini bila ya sisi wao si lolote wala chochote. Kwani tunawaepusha na majanga mbalimbali ikiwepo kuliwa na paka, mbwa n.k.

Kama wewe unavyoamini Mungu ni msaada mkubwa sana kwako na yeye ndiye mwanzo na mwisho kwako. Kwasababu tu anakupa uhai, anakupa riziki, anakuponya magonjwa ukiumwa na anakuepusha na majanga mbalimbali.

Kama ilivyofungwa akili ya kuku na ng'ombe juu ya dhamira kuu ya wao kufugwa na binadamu hivyo ndivyo ilivyofungwa akili ya binadamu kujua dhima kuu ya kwanini wapo hapa duniani.

Na siku binadamu akijua kwanini yupo hapa duniani ndiyo utakuwa mwisho wake wa kumwabudu Mungu na ataingia mgogoro mkubwa sana na Mungu uliojaa visasa . Ebu fikilia siku mifugo yako ikipewa utambuzi kwamba umeifuga ili uichinje tu au uiuze. Najua unajua nini kitakachotokea.

Wazee nawaambia ukweli sisi ni mifugo tu tunaoliwa na Mungu au na Shetani. Dhima kuu ya sisi kuwepo hapa duniani ni kuwa kitoweo cha Mungu au Shetani. Ndiyo maana tupo tupo tu bila mwelekeo wowote. Achana na story za kwenye biblia ni saundi tupu.

Kubisha ruksa kwani hata kuku anaweza akabisha huwa haliwi na binadamu.

Tunaonewa sana.
Ukifanya mazur utakua una muengezea power sir god Na ukifanya mabaya unamuengezea power shetani sasa utachagua uliwe Na yupi??
 
Wacha nikarudie haka kacomenti kangu pia;

Poa ngoja tuamue kutembea na hiyo nadharia yako bila kupinga;

Tuongeze nadharia ya mfano kwamba labda mchicha ukiula wewe binadamu, mchicha unakuwa sehemu ya binadamu na unafaidi ile experience ya kuwa binadamu. Utaishi nyumba nzuri utaendesha magari etc
Mchicha hautapenda kuliwa na mbuzi kwa sababu ona experience ya kuwa mbuzi sio tamu kivile, analala sehemu chafu, anapigwa jua,hathaminiwi etc. Kwa hiyo bora mchicha uliwe na binadamu na sio mbuzi. Uuexperience ubinadamu na sio umbuzi.

Kwani we unajuaje kwa nini ukila mchicha unaona zaidi? Ni kwa sababu mchicha ukiingia mwilini mwingi unajaa kwenye macho kwanza baadae ndo uende na kwingine. Kama tu ambavyo mshamba mwingine yeyote[toka shamba] akifika mjini au sebuleni ni macho ndo yanakuwa active zaidi! Kwa hiyo ndugu hata kama mchicha kiukweli ukawa hauna uwezo huo[kiuelewa/akili].

Tambua kwamba kwa binadamu ndivyo ilivyo, tumeumbwa na uelewa na utambuzi kujitambua na kutambua. Ukiliwa na Mungu utauexperience umungu[uhai],upendo, amani, uzuri, ukweli vyote utafaidi LAKINI ukiliwa na shetani utauexperience ushetani[kifo], chuki, taabu, ubaya machukizo.

Chagua sasa kuja kuliwa na Mungu na utafaidi milele pale utambuzi/consciousness wako utakuwa makaoni pa Mwenyezi Mungu.
mkuu umemalza kila kitu
 
Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.

Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga.

Yaani ni hivi binadamu hata afanye nini hatoweza kujua dhamira na dhima ya yeye kufugwa hapa duniani.

Kama ilivyo kwa kuku na ng'ombe, hata wafanye nini hawatoweza kamwe kujua dhamira na dhima ya wao kufugwa na binadamu.

Ebu fikiria Kuku, ng'ombe na mbuzi wanatuchukuliaje sisi binadamu?

Wanatuona sisi ni msaada mkubwa sana kwao, kwani tunawapa msaada mkubwa sana. Ikiwepo sehemu ya kulala, tunawapa chakula, tunawatibu magonjwa. Wanaamini bila ya sisi wao si lolote wala chochote. Kwani tunawaepusha na majanga mbalimbali ikiwepo kuliwa na paka, mbwa n.k.

Kama wewe unavyoamini Mungu ni msaada mkubwa sana kwako na yeye ndiye mwanzo na mwisho kwako. Kwasababu tu anakupa uhai, anakupa riziki, anakuponya magonjwa ukiumwa na anakuepusha na majanga mbalimbali.

Kama ilivyofungwa akili ya kuku na ng'ombe juu ya dhamira kuu ya wao kufugwa na binadamu hivyo ndivyo ilivyofungwa akili ya binadamu kujua dhima kuu ya kwanini wapo hapa duniani.

Na siku binadamu akijua kwanini yupo hapa duniani ndiyo utakuwa mwisho wake wa kumwabudu Mungu na ataingia mgogoro mkubwa sana na Mungu uliojaa visasa . Ebu fikilia siku mifugo yako ikipewa utambuzi kwamba umeifuga ili uichinje tu au uiuze. Najua unajua nini kitakachotokea.

Wazee nawaambia ukweli sisi ni mifugo tu tunaoliwa na Mungu au na Shetani. Dhima kuu ya sisi kuwepo hapa duniani ni kuwa kitoweo cha Mungu au Shetani. Ndiyo maana tupo tupo tu bila mwelekeo wowote. Achana na story za kwenye biblia ni saundi tupu.

Kubisha ruksa kwani hata kuku anaweza akabisha huwa haliwi na binadamu.

Tunaonewa sana.
Kondoo wa bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom