I bet Allah na Mungu ni tofauti,ko inabid ujue unamwabudu nani kati ya Allah na Mungu na yupi atakupeleka nchi ya ahadiYaani ulikuwa unakuja na hoja jengefu sana ila ulipofika tu hapa nikakata tamaa na somo lako....
"Na siku binadamu akijua kwanini yupo hapa duniani ndiyo utakuwa mwisho wake wa kumwabudu Mungu na ataingia mgogoro mkubwa sana na Mungu uliojaa visasa....:"
Huyu unayemuita Mungu "Allah" ametuleta hapa dunianj kwa lengo moja tu ... kumuabudu yeye pekee..
Tukimuabudu Allah basi kuna malipo kesho tutakapokufa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kitoweo !!!! Yaaani shetani au mungu anatukula sisi????Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.
Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga.
Yaani ni hivi binadamu hata afanye nini hatoweza kujua dhamira na dhima ya yeye kufugwa hapa duniani.
Kama ilivyo kwa kuku na ng'ombe, hata wafanye nini hawatoweza kamwe kujua dhamira na dhima ya wao kufugwa na binadamu.
Ebu fikiria Kuku, ng'ombe na mbuzi wanatuchukuliaje sisi binadamu?
Wanatuona sisi ni msaada mkubwa sana kwao, kwani tunawapa msaada mkubwa sana. Ikiwepo sehemu ya kulala, tunawapa chakula, tunawatibu magonjwa. Wanaamini bila ya sisi wao si lolote wala chochote. Kwani tunawaepusha na majanga mbalimbali ikiwepo kuliwa na paka, mbwa n.k.
Kama wewe unavyoamini Mungu ni msaada mkubwa sana kwako na yeye ndiye mwanzo na mwisho kwako. Kwasababu tu anakupa uhai, anakupa riziki, anakuponya magonjwa ukiumwa na anakuepusha na majanga mbalimbali.
Kama ilivyofungwa akili ya kuku na ng'ombe juu ya dhamira kuu ya wao kufugwa na binadamu hivyo ndivyo ilivyofungwa akili ya binadamu kujua dhima kuu ya kwanini wapo hapa duniani.
Na siku binadamu akijua kwanini yupo hapa duniani ndiyo utakuwa mwisho wake wa kumwabudu Mungu na ataingia mgogoro mkubwa sana na Mungu uliojaa visasa . Ebu fikilia siku mifugo yako ikipewa utambuzi kwamba umeifuga ili uichinje tu au uiuze. Najua unajua nini kitakachotokea.
Wazee nawaambia ukweli sisi ni mifugo tu tunaoliwa na Mungu au na Shetani. Dhima kuu ya sisi kuwepo hapa duniani ni kuwa kitoweo cha Mungu au Shetani. Ndiyo maana tupo tupo tu bila mwelekeo wowote. Achana na story za kwenye biblia ni saundi tupu.
Kubisha ruksa kwani hata kuku anaweza akabisha huwa haliwi na binadamu.
Tunaonewa sana.
hiyo salamu yako paragrafu ya kwanza tu ni inatisha




jamaa kanichekesha sana eti mifugo tunaliwaWakati nikiwa mdogo nilikua nawaangalia kuku wakiwa bandani nikawa nashangaa sana. Nilikua najiuliza, kwanini hawa kuku kila siku wanaona tunamchukua mmoja wao na kumchinja, lakini hawa wanaobaki hawashtuki wala hawakimbii? Nikawa nashangaa kuku wanafunguliwa asubuhi lakini jioni wanarudi tena wenyewe bandani, kwanini wasikimbie?
Baadae nikaja kugundua kua kumbe hata sisi binadamu hatuna tofauti yoyote na kuku walioko bandani. Anaetufuga kila siku anakamata baadhi yetu na kuwachinja, lakini sisi wengine tupo tu.. hatuna cha kufanya, hatuna pa kukimbilia ni sawa tu na kuku walioko bandani. Kila mmoja wetu anasubiria zamu yake ya kuchinjwa ifike.






nacheka lakini naogopa
Mifugo ya Mungu na shetani. Ila kuna kaukweli fulani.jamaa kanichekesha sana eti mifugo tunaliwa

Wakati nikiwa mdogo nilikua nawaangalia kuku wakiwa bandani nikawa nashangaa sana. Nilikua najiuliza, kwanini hawa kuku kila siku wanaona tunamchukua mmoja wao na kumchinja, lakini hawa wanaobaki hawashtuki wala hawakimbii? Nikawa nashangaa kuku wanafunguliwa asubuhi lakini jioni wanarudi tena wenyewe bandani, kwanini wasikimbie?
Baadae nikaja kugundua kua kumbe hata sisi binadamu hatuna tofauti yoyote na kuku walioko bandani. Anaetufuga kila siku anakamata baadhi yetu na kuwachinja, lakini sisi wengine tupo tu.. hatuna cha kufanya, hatuna pa kukimbilia ni sawa tu na kuku walioko bandani. Kila mmoja wetu anasubiria zamu yake ya kuchinjwa ifike.







Jamaa ukimtafakari ana hoja ya msingi,
Nimecheka
After all you have a point![]()

Tafadhali msaada:-kwa nini asilimia kubwa kama sio wote wanaopinga uwepo wa MUNGU ni wakristo
...sijatoka nje ya mada wazo hili ni baada ya kusoma hii nyuzi