Tunaomba jibu haraka sana

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
13,066
Reaction score
25,673
Ndugu zangu leo yametokea maajabu!

Na ninashaka na huyu member.. min -me kuwa atakuwa na uhusika katika staff ya hili jukwaa..

Haiwezekani apigwe ban alafu hiyo ban iishie ndani ya dakika kumi tu.

Hicho kitu Hakija wahi kutokea katika historia ya jamiiforums, na je, wenye mods mnamajibu gani?

Kingine, ni yeye tu ambaye amekuwa akivumiliwa ata akianzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu... Hili nalo ni moja ya ishara zinazoonehsa upendeleo na ukiukwajibwa taratibu na miiko ya humu jukwaani.

Kwa walio shuhudia, waje watoe ushuhuda... Ni aje mtu anapigwa ban the anarudi saa hiyo hiyo?

Basi sasa tuhararishe kuwa kuna member humu wana uhuru wa kufanya lolote na wasifanywe chochote?

Payge Moderator Active
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…