Yanga ilikuwa na malengo makubwa sana na Kombe la Mapinduzi

This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,932
5,017
Tofauti na kauli zinazotolewa baada ya kupokea kichapo cha goli tatu kwa moja kutoka kwa APR ya Rwanda, timu ya Yanga ilienda Zanzibar ikiwa na malengo makubwa.

Kauli zinazotolewa baada ya kichapo ni kauli za kujipoza na aibu ya kufungwa goli 3.

Ikumbukwe baada ya simba kudroo na APR maneno yalikuwa mengi sana kutoka kwa viongozi , wapenzi, mashabiki wa Yanga kwamba Simba ni mbovu kwasabbu imesuluhu na timu yenye mpira mdogo ya APR.

Uungwana ni kukubali kuzidiwa na siyo kuleta visingizio.

Soma alichoandika Priva kwenye mtando wa X. Fuatilia na viongizi na waoenzi wa yanga kabla ya kichapo tangu kombe la mapinduzi lianze.

Screenshot_20240108-133159.jpg
 
View attachment 2865553
Msemaji wa yanga anaongea sana bila uhalisia nadhani hata malengo ya mwalimu hayajui yeye anachojua nikuwa nyuma ya mikamela, (behind cameras) anatakiwa akipime kwamba siyo wote wenye upeo wa kufikiri km wa kwake, running a foot ball club it is not like family matters or a band
 
Malengo ya Yanga ilikuwa ni kuibua vipaji vipya, hasa kutoka timu ya under 20.
Pia kuwapa wachezaji wa akiba waonyeshe kuwa wanastahili kubaki Yanga.
Basi, hayo indio malengo makuu ya timu ya wananchi kwenye mashindano haya.
 
Tofauti na kauli zinazotolewa baada ya kupokea kichapo cha goli tatu kwa moja kutoka kwa APR ya Rwanda, timu ya Yanga ilienda Zanzibar ikiwa na malengo makubwa.

Kauli zinazotolewa baada ya kichapo ni kauli za kujipoza na aibu ya kufungwa goli 3.

Ikumbukwe baada ya simba kudroo na APR maneno yalikuwa mengi sana kutoka kwa viongozi , wapenzi, mashabiki wa Yanga kwamba Simba ni mbovu kwasabbu imesuluhu na timu yenye mpira mdogo ya APR.

Uungwana ni kukubali kuzidiwa na siyo kuleta visingizio.

Soma alichoandika Priva kwenye mtando wa X. Fuatilia na viongizi na waoenzi wa yanga kabla ya kichapo tangu kombe la mapinduzi lianze.

View attachment 2865553
Sawa umesikika
 
Tofauti na kauli zinazotolewa baada ya kupokea kichapo cha goli tatu kwa moja kutoka kwa APR ya Rwanda, timu ya Yanga ilienda Zanzibar ikiwa na malengo makubwa.
Hata Gamondi alikazia ushindi hadi kubeba kombe
 
Attachments

  • 1704732218203.jpg
    1704732218203.jpg
    326.8 KB · Views: 3
Malengo ya Yanga ilikuwa ni kuibua vipaji vipya, hasa kutoka timu ya under 20.
Pia kuwapa wachezaji wa akiba waonyeshe kuwa wanastahili kubaki Yanga.
Basi, hayo indio malengo makuu ya timu ya wananchi kwenye mashindano haya.
Wasemaji mpo wengi sana baada zile tatu za APR

Kila mtu humu ni kocha, msemaji, rais wa klabu.
 
Malengo ya Yanga ilikuwa ni kuibua vipaji vipya, hasa kutoka timu ya under 20.
Pia kuwapa wachezaji wa akiba waonyeshe kuwa wanastahili kubaki Yanga.
Basi, hayo indio malengo makuu ya timu ya wananchi kwenye mashindano haya.
Sio nyie mliosema mnaenda kubeba kila kitu huko mapinduzi?
 
Back
Top Bottom