Tunaoenda interview za TRA tukutane

Sasa tukiwatakia wote kila la kheri ni Unafki.

Mpo wengi sana na wapo watakaokosa tu lazima.

Mliojiandaa vya kutosha, Mungu akawapiganie. Asikuambie mtu, kuajiriwa ni raha, haswa katika taasisi zinazolipa vema.
Tuwape moyo tu maana inatia hamasa ila kimsingi odds za kukosa ni 99.5% za kupata ni 0.5% kwa kila position! Hii ni kwa wasio na connection kabisa. Anayepata ni Mungu tu hapo juu anakuwa amemkunia nazi!
 
Ni watu 9702 to be exact...halafu mnagombania nafasi 8. Hapo kuna watu 964 watarudi kuendelea na msoto mtaani. Unemployment rate ni kubwa sana.Sijui tutajikwamua vipi kutoka hapo....ratio ya job creation ni ndogo kuliko idadi ya wanaohitimu.
Kuna mambo inabidi mtu ucheke tu yaniπŸ˜…
 
Hayo uliyoshauri yalitumika enzi za Zama za mawe za kale.

Madogo walienda kwny mtihani wa auditing wakakutana na maswali ya Economics ya kutafuta GDP,GNP,RNP,Per capital income etc.Hayo sijui yanahusikaje na Auditing.
 
Bata?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Mwanangu we ukitoka zako kwny pepa Kama umefikia lodge pitia zako stand ya mabus direct kata tiketi Rudi zako mkoani jmos hio hio Kama mkoa Ni wa jirani usisubiri mpk J4 mtapopewa majibu ya oral maana utachoma hela ya lodge+Bata halafu tokeo manyoya.

Niamini Mimi.
 
Hayo uliyoshauri yalitumika enzi za Zama za mawe za kale.

Madogo walienda kwny mtihani wa auditing wakakutana na maswali ya Economics ya kutafuta DDP,GNP,RNP,Per capital income etc.Hayo sijui yanahusikaje na Auditing.
Kwa nchi ninayoishi, kuuliza watu maswali ya masomo kwenye usaili, ilitumika hizo zama za mawe.

Na hata hapo ilikuwa wana watu wao tayari, hayo maswali yalikuwa ni changa la macho ili kila anayetoka kwenye usaili anakuwa ameshakubali yaishe.
 
Sasa tukiwatakia wote kila la kheri ni Unafki.

Mpo wengi sana na wapo watakaokosa tu lazima.

Mliojiandaa vya kutosha, Mungu akawapiganie. Asikuambie mtu, kuajiriwa ni raha, haswa katika taasisi zinazolipa vema.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni watu 9702 to be exact...halafu mnagombania nafasi 8. Hapo kuna watu 964 watarudi kuendelea na msoto mtaani. Unemployment rate ni kubwa sana.Sijui tutajikwamua vipi kutoka hapo....ratio ya job creation ni ndogo kuliko idadi ya wanaohitimu.
Kwakweli mkuu..
Hivi graduates wetu wangekua na viwango wangechangamkia ajira hata nchi nyingine.kuliko kubanana hapa
 
Jamaa anaulizia bata atakuwa na maisha tayari hio kazi haitafutii kwa njaa njaaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sema ushauri mzuri kama ana mitikasi yake alipotoka bora asepe tu, hio ratio ni probability mkuu mie ile ya TPB tu ya watu 58 nilikosaga kumniner!
 
Huyo ndio mmbongo [emoji28] af utegemee productivity humo ndio maana wajasiriamali ma Don hujaza ngozi nyeupe tu kwenye zile top positions
Yaani yeye kwende Dodoma kwenye huo usaili tayari ameona ni safari ya kula bata na kukutana na totoz..hivi hawa mademu na hizo bata si zipo kila sehemu?..

Amenishangaza sana huyu jamaa.

Sema bongo miaka 5 tena ijayo aisee hali itakuwa sio poa..yaani wanahitajika watu 8 walioitwa kwenye interview watu 9000+..Dooh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…