wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,983
- 4,138
We acha tuu mkuu...Wanahitajika watu wangapi kwenye hizi ajira?
Watu 6 interview ina watu900Wanahitajika watu wangapi kwenye hizi ajira?
Watu 6 interview ina watu900
Hatari SanaWe acha tuu mkuu...
Kwa kifupi Kwenye kila watu elf moja anahitajika mmoja.... calculate apo mkuu
Nami ndo naingia mjini hapa kujaribu bahatiHatari Sana
Kuna mtu Leo kafungwa safari hapa anakuja huko
Kila la heri kwake
Mwenyezi Mungu awe naweNami ndo naingia mjini hapa kujaribu bahati
Watu na Imani zao....acha akaumalize mwendoHatari Sana
Kuna mtu Leo kafungwa safari hapa anakuja huko
Kila la heri kwake
Kuna category ya customs officer inahitaji watu 8 halafu wasailiwa ni 9000 na mia kadhaa.Hatari Sana
Kuna mtu Leo kafungwa safari hapa anakuja huko
Kila la heri kwake
Dah mkuu sio 900?Kuna category ya customs officer inahitaji watu 8 halafu wasailiwa ni 9000 na mia kadhaa.
HahahaaWatu na Imani zao....acha akaumalize mwendo
Utawaambia nini wasomi wa kukariri wakakuelewaIngia chumba cha usaili kama umekuja kusaini mkataba wa kazi, yaani jiamini kuwa hii kazi unaipata
Jibu maswali kwa kirefu hata kama jibu lilitakiwa kuwa ndio au hapana
Sikiliza maswali kwa makini na ujibu kwa ufasaha na acha lugha za mtaani, kama ni kiswahili kinatumika, tumia kiswahili fasaha.
Kama ni kiingereza kinatumika, hapo ni homework yako, sina ushauri zaidi, maana kama lugha ni ngumu basi usaili tayari ni mgumu.
Pia tumia nafasi hii kama somo hata kama hukufanikiwa ili wakati mwingine ujiandae vizuri
Natumaini hizi nafasi zitatolewa kwa haki sio kwamba wanajua tayari nani kapata kazi kwa kutumia "koneksheni"
Kila la heri....
9,000+Dah mkuu sio 900?
Hahahaa9,000+
Ni watu 9702 to be exact...halafu mnagombania nafasi 8. Hapo kuna watu 9694 watarudi kuendelea na msoto mtaani. Unemployment rate ni kubwa sana.Sijui tutajikwamua vipi kutoka hapo....ratio ya job creation ni ndogo kuliko idadi ya wanaohitimu.Hahahaa
Naogopa