Tunangoja Walimu wagome halafu tuseme watoto hawana hatia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunangoja Walimu wagome halafu tuseme watoto hawana hatia

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kichwat, Jun 27, 2012.

 1. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Wakati tukiendelea kuwalaumu madaktari kwamba mgomo wao unawaathiri wagonjwa wasio hatia, tunasahau WALIMU wetu nao wana malimbikizo ya madai ya muda mrefu ambayo hayajapatiwa ufumbuzi, na wangekuwa hawajalala wangeshagoma.

  Kama kawaida yao waTZ wanasubiri walimu wagome halafu utasikia 'walimu wawe na moyo wa huruma, watoto wetu hawana hatia, ualimu ni wito, tutumie meza ya mazungumzo, amri ya mahakama, n.k.'
   
Loading...