Post yako ni too emotional hadi umeshindwa kutuambia Kikwete amefanya nini hata kimoja ashukuriwe, zaidi ya kusema alijipanga kuwa rais. Je, alijipanga kuwakejeri madaktari? alijipanga kuwanyamazisha wabunge? hebu tuambie alijipanga nini kuwa rais, kuinua uchumi?, maisha bora? au kupunguza mfumuko wa bei, alijipanga nini.Humjui Kikwete.
Laiti ungemjuwa usingeleta pumba ulizozileta.
Ni hotuba ipi aliyonung'umika kama utakavyo iwe?
Hotuba za Kikwete zote, ni fundisho kwa watu kama wewe wanaolalamika na kunung'unika kila siku lakini mnachonung'unika hakijulikani.
Hotuba aliyoongea na wazee kuhusu madaktari, licha ya kuwaelewesha kilichojiri, alitamba sana na hata kukejeli. Na mpaka leo tumeona madaktari ni kimya na wala hutowasikia tena wakilalamika. Huyo ndio JK.
Hotuba ya juzi umeona alivyowanyamazisha kwa kukurupuka na kudakia hoja kwa mafanikio ya jitihada zake.
Kikwete, hakupewa "favor" kuupata Urais kama ilivyokuwa kwa wote wa kabla yake. Kikwete alijuwa kabisa kuwa anataka awe Rais na alijipanga hivyo kwa miaka mingi sana na akaupata licha ya kuletewa mizengwe na Nyerere katika uhai wake.
Nakuona una haha kutafuta la kusema kuhusu Kikwete lakini ukweli ni kwamba hamumuwezi kabisa, kila afanyacho hufanya kwa maslahi ya wananchi na si ya kwake binafsi. Leo hii kikwete angekuwa na madudu japo asilimia 1 tu ya madudu ya Mkapa sijui kama angebaki kwenye Urais, maana mlivyomsakama si kidogo, lakini hamna zaidi ya kuzuwa tu na kutafuta kisichopo, mtatafuta sana lakini bure tu.
Humjui Kikwete, unamsikia tu na unamkisia, he is way too far ahead from your way of thinking. Wewe bado una fikra za kizamani sana, za wakati wa dhiki za chai kukorogwa kwa lawalawa badala ya sukari.
Mnajionea nafsi zenu wenyewe na ndio mpaka zinawafanya mnakuja kubwabwaja hapa hapa, ati "tunamuonea Kikwete", una ubavu upi wewe wa kumuonea Kikwete?
Humjui Kikwete1
Ukitaka kujua kwamba JK ni Rais wa namna gani, angalia alivyoshiriki msiba wa Kanumba.
Kwamba ameahirisha safari ili ashiriki. Pili katoa ubani milioni 10, tatu kawakumbusha wasanii kwamba ahadi yao anaikumbuka na hajaisahau anasubiri uongozi wa wasanii wafanyie kazi mambo fulani then wampelekee "ripoti".
Misiba mingapi inatokea na hatusikii akiahirisha safari ili ashiriki na badala yake anatuma wawakilishi? Je, kulikuwa na haja ya kusema hayo? Kulikuwa na haja ya kutangaza "ubani" ametoa kiasi gani na kukumbushia ahadi zake? Why asubiri kwenye msiba? Was that a right place ya kukumbushia hilo?
Hilo la kutoshukuriwa, anajitakia mwenyewe na mojawapo ya vitu vinavyomponza ni hilo hapo juu.
Humjui Kikwete.
Laiti ungemjuwa usingeleta pumba ulizozileta.
Ni hotuba ipi aliyonung'umika kama utakavyo iwe?
Hotuba za Kikwete zote, ni fundisho kwa watu kama wewe wanaolalamika na kunung'unika kila siku lakini mnachonung'unika hakijulikani.
Hotuba aliyoongea na wazee kuhusu madaktari, licha ya kuwaelewesha kilichojiri, alitamba sana na hata kukejeli. Na mpaka leo tumeona madaktari ni kimya na wala hutowasikia tena wakilalamika. Huyo ndio JK.
Hotuba ya juzi umeona alivyowanyamazisha kwa kukurupuka na kudakia hoja kwa mafanikio ya jitihada zake.
Kikwete, hakupewa "favor" kuupata Urais kama ilivyokuwa kwa wote wa kabla yake. Kikwete alijuwa kabisa kuwa anataka awe Rais na alijipanga hivyo kwa miaka mingi sana na akaupata licha ya kuletewa mizengwe na Nyerere katika uhai wake.
Nakuona una haha kutafuta la kusema kuhusu Kikwete lakini ukweli ni kwamba hamumuwezi kabisa, kila afanyacho hufanya kwa maslahi ya wananchi na si ya kwake binafsi. Leo hii kikwete angekuwa na madudu japo asilimia 1 tu ya madudu ya Mkapa sijui kama angebaki kwenye Urais, maana mlivyomsakama si kidogo, lakini hamna zaidi ya kuzuwa tu na kutafuta kisichopo, mtatafuta sana lakini bure tu.
Humjui Kikwete, unamsikia tu na unamkisia, he is way too far ahead from your way of thinking. Wewe bado una fikra za kizamani sana, za wakati wa dhiki za chai kukorogwa kwa lawalawa badala ya sukari.
Mnajionea nafsi zenu wenyewe na ndio mpaka zinawafanya mnakuja kubwabwaja hapa hapa, ati "tunamuonea Kikwete", una ubavu upi wewe wa kumuonea Kikwete?
Humjui Kikwete1
Binadamu bwana! hivi mnataka Kikwete afanye lipi? nimeamini kweli hamna shukrani hata kidogo ! hii anaonesha kumjali mtu ambae baadae ni wazi angeitangaza TAnzania, hivi hamjui kuwa Kanumba alikuwa anakuwa kwa kasi kubwa sana! ni mtu mmoja mashuhuri hapa Tanzania, na hii kuonesha ukaribu wake na watu wake leo ANASEMWA ! kweli usilolijua ni usiku wa kiza !
maisha ya mtanzania wa kawaida sasa hivi ni magumu na ya shida zaidi kuliko enzi za mwinyi na mkapa.. hiyo ni facts sio kwamba tunamsingizia.. Watakaomkumbuka Rais ni hao mawaziri wake ambao wananunua au kujenga nyumba za dola laki 7 lakini any tom dick and harry sidhani kama they would shed a tear if the president resigned today
no wonder unadiriki kusema kikwete ni rais bora kuliko wote maana matatizo yaliyotokea kwa viongozi wa awamu zilizopita unaona ni matatizo lakini matatizo yanayotokea kwenye awamu ya kikwete unaona ni window of opportunity...!
Post yako ni too emotional hadi umeshindwa kutuambia Kikwete amefanya nini hata kimoja ashukuriwe, zaidi ya kusema alijipanga kuwa rais. Je, alijipanga kuwakejeri madaktari? alijipanga kuwanyamazisha wabunge? hebu tuambie alijipanga nini kuwa rais, kuinua uchumi?, maisha bora? au kupunguza mfumuko wa bei, alijipanga nini.
Kumbe mpo wengi msio na shukrani na msiotambua mambo bwelele ambayo Kikwete kawafanyia. Jamani karudisha 'chenji ya rada' hamshukuru?
Nna uhakika kila ukilitafakari hilo unakosa ubishi. Yes. Nna uhakika na nilichokiandika.
ushukuru kwa lipi??JK is good sema watanzania hata uwalambe ****** hawawezi shukuru, kila kitu kipo wazi unataka ripoti unapata, sema watanzania mnataka JK huyohuyo awakamate watu na kuwasongesha mahakamani, hawezi fanya kila kitu pekeyake ndio maana kuna taasisi zimeundwa kama hazifanyi kazi zao vizuri hatuwezi msingizia JK. hata zitto alisema wacheni msingizia JK kila kitu, the president is good na hatutapata presida kama JK. wait and see hope JF remains living tutakumbushana hapa.
JK is good sema watanzania hata uwalambe ****** hawawezi shukuru, kila kitu kipo wazi unataka ripoti unapata, sema watanzania mnataka JK huyohuyo awakamate watu na kuwasongesha mahakamani, hawezi fanya kila kitu pekeyake ndio maana kuna taasisi zimeundwa kama hazifanyi kazi zao vizuri hatuwezi msingizia JK. hata zitto alisema wacheni msingizia JK kila kitu, the president is good na hatutapata presida kama JK. wait and see hope JF remains living tutakumbushana hapa.
Umerudia kelele zile zile za mitaani kum-praise bila kutuambia amefanya nini, ningekuona wa maana kama ungesema kafanya nini..Kikwete hana haja ya kushukuriwa na wewe wala mwingine yeyote. Ni lini alisema anataka wewe umshukuru au wengine wamshukuru? Kikwete ni Muislaam na Waislaam hushukuru Mungu, hawamshukuru binaadam mwenzao. Hata mimi siwezi mshukuru Kikwete, ntaemshukuru ni Mwenyeezi Mungu pekee. Kuwa makini kidogo ujuwe wengine hatushukuru binaadam wenzetu, kuwaenzi binaadam wenzetu huwa tunamsifu Mwenyeezi Mungu kwa kuwapa uwezo.
Kwa Kikwete tunamshukuru sana Mwenyeezi Mungu kwa kumpa uwezo mwema kwa yote ayafanyayo, ni kwa uwezo wa Mwenyeezi Mungu na tunamuomba Mwenyeezi Mungu amzidishie kila la kheri na mafanikio mema, azidi kumpa uwezo wa kuongoza vyema na kufichuwa udhalimu wa wauwa Albino (nilisoma kuna wachungaji walishikwa), waleta madawa ya kulevya (nilisoma kuna wachungaji walishikwa). Na sasa tutawajuwa karibuni ni nani wenye kufanya madudu sitoshangaa nikikumbana na majina mengine ya wachungaji.
Mzee Mwanakijiji, ni kweli wapo wengi wasio na shukrani kwa JK, watu ambao hawana hata chembe ya appreciation!. Wao wanaweka reference ya mabaya tuu!. This is not fair!.Kumbe mpo wengi msio na shukrani na msiotambua mambo bwelele ambayo Kikwete kawafanyia. Jamani karudisha 'chenji ya rada' hamshukuru?
Wewe The Infamous,
Inaonekana wewe J Kiwete huwa anakulamba ****** ndiyo UNAMSIFIA. Kiongozi mzuri ni YULE ANAYEWEKA MFUMO WA KIUTENDAJI NA UWAJIBIKAJI na akaweza KUFUATILIA KWA KARIBU. Je, wewe ni mgeni katika nchi hii? Je,hujawahi kusikia madudu ya PCCB(TAKUKURU),TBS,POLISI,MAHAKAMA,HALMASHAURI NA MASHIRIKA KAMA ATCL,TRL n.k.??Je,Kiwete anakwaga wapi wakti mambo yakizidi kuharibika katika sehemu hizo mhimu???
Mbona ENZI ZA MWALIMU NYERERE(RIP) NA EDWARD MORINGE SOKOINE(RIP) kulikuwa na usimamizi na ufuatiliaji wa karibu kiasi kwamba ILIKUWA NI VIGUM SANA KUKUTA UFISADI KAMA TUNAOSHUDUA KWA SASA??Kiwete na PM wake wanashindwa nini???Jibu liko wazi: HAWANA KIPAJI CHA UONGOZI NA HAWAFAI KUONGOZA HATA KIJIJI.