Tunamkumbukaje Samatta?

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,420
Aliyofanya huyu jamaa uenda ikachukua vizazi kadhaa kuyafikia. Ni muhimu kuweka na alama ya kudumu kama kumbukmbu yake.

Siku za nyuma wanamichezo waliopata mafanikio makubwa waliwekwa kwenye stempu kama heshima na kuthamini mchango yao, je kwa karne yetu hii tunaweka kumbukumbu gani ya kumkumbuka Samatta muda mrefu ujao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom