Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
- Thread starter
-
- #101
Mmh basi ni wazi hujui mengi, lakini basi hebu tusaidie kuondoa utata juu ya Simba trust na hizi tuhuma zinaelekezwa kwa familia ya rais, nafahamu umahiri wako wa kuchimba mambo hebu chimbachimba na hili
Hana tofauti na akina Asumpta Mshama huyu
Acha hadithi ambazo mtu yeyote anaweza kuchukua hiyo post akabadilisha majina, penye Jacob Zuma akaweka Joyce Banda, lilipo jina la Kikwete akaweka Mwanawasa halafu kusiwe na tofauti yoyote ile. Badala ya hadith, weka hapa viambatanisho. Watu wanaposema Tibaijuka alipewa 1.6 billion si tu PAC wamesema bali hata viambatanisho tumeviona. Hadithi zako ambazo wenye akili wameshaanza kukudharau muda si mrefu hata misukule wanaoamini kila kitu bila reasoning wataanza kukudharau. Weka hapa viambatanisho badala ya kujifanya wewe nii mtu wa nyeti wakati hujawahi kutoa evidence hata siku moja.Unapoteza mda wako mwingi kubisha kuliko kujifunza
I agree with you 100%. Tunaangushwa hasa na jeshi la police na JWTZ wanatumika kuhujumu wapiga kura. Pili wanawake eti huyu ni handsome kwa hiyo tumpe kura. Tupa taka kule kwa sasa hatutakubari ushoga.Kikwete kutawala nchi hii ni laana,na laana hii ni funzo mwenyezi Mungu ametupa Watanzania ili tuweze kujitambua na kujitathimini.
Kikwete kutawala ameanza siku nyingi kutuhujumu hasa kwenye umeme,1993 mtoto IPTL alizaliwa baba akiwa Kikwete,mipango yote kwenye umeme
energy sector ya nchi hii anaijua zaidi ya mtu yeyote ndani ya nchi hii na matatizo yote ya energy sector yameletwa na huyu mtu kwa maksudi tangu. 1993.
Kwahiyo
ndugu zangu Watanzania tuwe makini na aina ya watu tunaowaingiza madarakani kwa kura zetu.,
huyu jamaa TD alijipanga muda .mrefu kuwa rais wa nchi hii, infant he had a mission to ruin this country in whatever possible
way.ni mmoja wa watu waliofurahia kifo cha mwalimu.This guy had a mission na ameitimiza kwa 90%,kila kona Watanzania wanalia umaskini umetamalaki,bei za bidhaa hazishikiki,Uchumi umezorota,thamani ya pesa inaporomoka kila kukicha;
pengo la maskini na tajiri ni kama ahera na peponi,rushwa na wizi wa mali ya umma ni sawa na kunywa maji.
Watanzania tulifanya makosa,tujisahihishe ili tusirudie makosa.2015 tuwe macho na makini na aina
mtu atakayependekezwa
na hii satanic family.
Simba rust ni ya Habinder Singh na wanawe.
Wewe unayeyajuwa mengi weka hapa, mimi nasema Fuso mbili chakavu kwa millioni 600 kaziuza Mbowe kwa chadema.
ZZK is comming back to chadema.Unapoteza mda wako mwingi kubisha kuliko kujifunza
ZZK is comming back to chadema.
na la kusikitisha ni kwamba mume wenu mbowe ndiye anayeomba ZZK arudi..
start parking your things.
kuwa kibaraka ni upumbavu na mwisho wa upumbavu ni fedheha.
Simba rust ni ya Habinder Singh na wanawe.
Wewe unayeyajuwa mengi weka hapa, mimi nasema Fuso mbili chakavu kwa millioni 600 kaziuza Mbowe kwa chadema.
ZZK is comming back to chadema.
na la kusikitisha ni kwamba mume wenu mbowe ndiye anayeomba ZZK arudi..
start parking your things.
kuwa kibaraka ni upumbavu na mwisho wa upumbavu ni fedheha.
Duuih! Pap ni ya Singasinga, Simba trust ni ya Singasinga, nk..... Hahaaa
Hahahahahaaaaaaa!mhekaya za Yeriko. Kwani si ulituambia kuwa Simba Trust inamilikiwa na Salama Kikwete na Miraji Kikwete?
Kwa mtu kama wewe usiyejuwa maana ya biashara hiyo kwako ni vigumu kukuingia, umeshafikia kikomo chako cha uelewa, Sikushangai.
Hivi Foxy hujawahi kuugua magonjwa ya akili kweli au hata tete kuwanga kali? Nina wasiwasi!
Kwa mtu kama wewe usiyejuwa maana ya biashara hiyo kwako ni vigumu kukuingia, umeshafikia kikomo chako cha uelewa, Sikushangai.
Hivi Foxy hujawahi kuugua magonjwa ya akili kweli au hata tete kuwanga kali? Nina wasiwasi!
we nawe zitakuwa zimekuruka siyo bure unaandika umbea wako kila siku ndiyo maana unapuuzwa tu.
Duuuh leo nimefika ukomo??? Hahaaa pole dada