Tunakupa miezi mitatu: Boko Haram wamtishia rais Goodluck Jonathan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunakupa miezi mitatu: Boko Haram wamtishia rais Goodluck Jonathan

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Apr 13, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kasheshe la Nigeria haliishi

  Boko Haram Tells Goodluck Jonathan: ‘We Will Bring You Down Within Three Months


  2012 April 13
  Boko Haram has posted a video threatening to bring down Goodluck Jonathan's regime in Nigeria within three months.

  Abubakar Shekau, the purported leader of the ultra-conservative Islamist sect, appears in the video, in which he defies the Nigerian president's recent claim that Boko Haram would soon be brought under control.

  In the 14-minute video, the group, known in Arabic as the Jama'atu Ahl-Sunnati Lil Da'awati Wal Jihad, threatens to bring down the country's central government within three months - the same time frame that Jonathan used in reference to bringing the group to heel.

  "You, Jonathan, cannot stop us. Instead, we will devour you in three months like you are boasting,"
  Shekau said in the video entitled Message to Goodluck Jonathan.

  "We are proud soldiers of Allah; we will never give up as we fight the infidels. We will emerge as winners... We will finish you and end your government,"
  Shekau added using both Arabic and Hausa, a language spoken in the north of the country.

  The video is viewed by some observers as a further indication that Boko Haram is unwilling to enter into a dialogue with the central government.

  Source:
  International Business Times
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa nini hawa jamaa wasije huku kwetu tz kutuondolea hawa wanyonya damu ccm?
   
 3. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Tema mate chini! Usiombee hii kitu, CCM twaitoa kwa Kura.


   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni hatari, imeshindikana kabisa kuwadhibiti?
   
 5. m

  matsuo Senior Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Something must be seriously wrong with Islamic teaching….all these groups causing havoc worldwide in one way or another acclaim to be fighters of Allah and quoting the Koran….it's like it teaches them to fight until the whole world is subdued under Sharia law……Once an insurgent emerges, the Muslim brothers appears not to condemn. They are either silently condoning or remote accomplices. I don't hate Islam in fact I have many Muslim friends, but I hate their condoning of this jihadist activities….It's not just in Kenya where Al Shaabab is threatening, MRC, Mali, Boko haram etc….looks like a global campaign.
   
 6. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Salman Rushdi knew all about Boko Haram and their inhumane acts. Read his book Satanic verse chapter nine. Go through all lines on page125.
   
 7. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,995
  Likes Received: 1,566
  Trophy Points: 280

  wewe umejazwa akili ya kanisa , magazeti yao pamoja na tv zao

  hizi ni habari za upande mmoja tu

  hivyo ni vita vya mafia kule nigeria havihusiani kabisa na dini
   
 8. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,507
  Likes Received: 6,008
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu kama hicho kwenye page 125
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Brother lakini ulishawahi kujiuliza kuhusu Waislamu waliopo nchini mwako Tanzania?
  Wao mbona hawatuui? Hawajui mafundisho ya dini yao?
  Something is wrong. Naamini hayo mapigano yapo kimaslahi ya kiuchumi zaidi ila yanavishwa vilemba vya dini ya Kiislamu.
  Hizi ni Propaganda sawa na zile zinazoenezwa na America.
   
 10. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine ninashangaa sana ninapoona waafrika flani wanazungumza kama wazungu vile. Sijuwi wanapata faida gani kwa kufanya hivyo!
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,806
  Likes Received: 7,130
  Trophy Points: 280
  kwa mwenye akili ataliona hili mbona kipindi cha coldwar kati ya marekani na urusi hayakuwepo haya?

  Hizi ni chokochoko za marekani dhidi ya uislamu na wala hakuna mafundisho ya kiislamu yanayosema wawavamie wakristo au wayahudi wasio na hatia. Ila inabidi wapigane baada ya kudhulumiwa haki zao

  Angalia watu sasa wanaona uislamu ni ugaidi kwa fikra zilizopandwa na wamarekani. Wakati wamarekani ndio wa mwanzo walionza fujo kwa kuvamia afghanistan na iraq. Kabla ya vita hivi hakukua na makundi yote tunayoyaona sasa ya kiisilamu.

  nilikua nikiangalia aljazeera wakiongelea source ya huu mzozo walitrace kuanzia mwaka 1990 baada ya cold war Bernard Lewis, professor emeritus of Princeton University alikua anatabiri kua baada ya cold war dunia haitatulia maana kuna adui wa capitalist aliebakia na anaefuatia yaani uislamu.

  Ikumbukwe kua uislamu ni mfumo kama kapitalist una sheria mifumo ya kisiasa uchumi na kila kitu.

  Wanachofanya marekani ni kuwati hasira waislamu kama alivotabiri proffesor kama kukojolea msaafu(quran) kuua mtu (japo mmoja) na vitu vingi tu ili mradi kuamsha hasira halafu waislamu wakireact then anatangaza dunian 'unaona wale magaidi' then wanapigwa waislamu.

  Hii ipo duniani na inakua siku hadi siku sijui mwisho wake lini
   
 12. m

  matsuo Senior Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Whether Muslim or Christians, we should condemn violence…if my priest today tells me that I kill another person because I am fighting for our God and that the Bible says so, my common sense tells me that's wrong, I better do away with that church and that weird Bible. Now here is a person killing another for no reason just because he is being promised non existence virgins???it can't get stupider than that!
   
 13. m

  matsuo Senior Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  I see your point. Having realized that, it would be prudent therefore for righteous Muslim to preach peace and agree to coexist with other faiths. We are all Africans in this case and the pain you afflict your brother would equally hurt if directed your way…the realization that's it's an America/foreigner's agenda, should make us all unite to foster peace among ourselves regardless of our faiths
   
 14. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  Mkuu hawa jamaa badala ya kupigana na serikali yani wapigane na jeshi wao wanaenda kuua wananchi wasio na hatia.
  Ni sawa litokee kundi linalodai haliitaki ccm halafu lipigane na ccm kwa mtindo wa kujitoa muhanga sehemu za mikusanyiko kama sokoni na makanisani.
  Huo ni ujinga
   
 15. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Boko Haram are real Bokos....stupid, ******...and dont ask me why
   
Loading...